hongera ila watekaji wanakupunguzia sifa kiasi,zama zile watu wenye elimu zao walitekwa na kupelekwa jeshini kupiga kazi ngumu miaka hata kumi,akirudi kama mzee anapewa ustaafu.ataandika nn tena magazetini na taifa kalitumikia.
you do not know well about economics and economic dvpment! unazarau laki sita_ unajua uchumi unaanzia bei gani,yale madawa ya forever ukiugua au ukawa unajali afya yako utayapenda sana Ila kwa sasa huna pesa ndo maana hujui kugaramia bizaa za viwango.bei ya colgate sio sawa na aha.kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.