Recent content by Dr Frankenstein

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

    Tutumie uwezo wetu wa akili tuliokuwa nao kwa vizuri zaid kisha tujiulize, kwann matatizo yasiyo onekana kama mashetani huwa tunaomba msaada kwa mwnyzmungu ambaye haonekani, na matatizo huondoka? Basi ni hiviiii....kama kisichoonekana kinaweza kuzuiwa na kisichoonekana basi ni wazi kuwa vyote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Wazungu wana akili zaidi kuliko Makabila mengine Duniani. Sisi wa Mwisho.

    Hivi manabii wa ukristo na uislamu wangetokea Africa, wazungu na waarabu wangeamin?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Alidai hahitaji msaada, atalea mtoto mwenyewe, sasa karudi kwa magoti

    hebu angalieni na vitu vingine vya kusamehe nyie kama kaambukizwa na ukimwi je ukimsamehe yeye ukimwi pia utakusamehe
  4. D

    JamiiForums Tanzania Niwaulize watu wa Arusha, mnataka mageuzi gani?

    Kijiji hakikosi chizi ndo maana hakuna kulipokosa mbunge was ccm
  5. D

    JamiiForums Tanzania Niwaulize watu wa Arusha, mnataka mageuzi gani?

    ni kwamba kijiji hakikosi chizi ndo maana hakuna mkoa usiokosa ccm
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika zingatia haya ili udumu bunge la 11

    aisee taarabu unaiweza sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Majina ya watoto

    Mimi kwa kweli hii kitu inaniudhi sana haya huyo anaedai jina lake lipewe kipaumbele mlevi ,mwizi mtoto akichukua jina ni pamoja na tabia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    tuusiishe akili zetu wakati mwngne wakubwa wa nn je wakikushauri utumie busara kwamba msamehe je kama kapata ukimwi pia utawasamehe
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida?

    niwaambie kitu wanna jf wnzangu ili ufanikiwe katka mambo yako cha kwanza ni kujituma kngne ni kujifunza kutokana na historia yaani kujua ni wapi ulipowahi kukosea usikosee tena ili kufanikiwa vizuri lakn kwa mapenzi hivi vyote nlivotaja havisaidii tuyaache mapenzi kama yalivyo msisahau...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jamaa amshtaki jirani kwa kushindwa kumpa mkewe mimba

    mmh mjerumani na shilingi wapi na wap
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    yaani we manga unanchukulia demu wangu na we atoto unansaliti kumbe upuuzi mnaufanyia humu jf
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    Mi nakushauri endelea kumuonea huruma
  13. D

    JamiiForums Tanzania Udiplomasia na udemokrasia unaharibu ndoa nyingi

    correct saikolojia ya mwanamke ni MTU anayetaka kuongozwa unapokua chn yake hukudharau mwishowe kukuchukia usikubali mwanamke atumie udhaifu wako
Back
Top Bottom