Recent content by Dr.don

  1. D

    JamiiForums Tanzania Please! comment on; BIHAWANA high school.¤wakuu Jf¤

    sio kila, auliziaye shule ni mwanafunzi!! Wengine ni wazazi bwana wewe vipi'??
  2. D

    JamiiForums Tanzania Please! comment on; BIHAWANA high school.¤wakuu Jf¤

    usilolijua, nikama usiku wa giza kaka! Na njiti ya kiberiti pekee haitoshi kutoa mwanga ktk giza nene.mjomba".|
  3. D

    JamiiForums Tanzania Please! comment on; BIHAWANA high school.¤wakuu Jf¤

    Wakuu naomba msaada kuhusu shule ya bihawana sec skul. Inapatikana wapi? Mkoa,wilaya, kata na mtaa? Je ipo near na makinda? Sare wanazo vaa? Walimu wapo lakini? Shukrani!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mapema: Pugu high school

    Bado ni ambieni wakuu!?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mapema: Pugu high school

    Daah! Mi nasikiaga iko pande za jiji la Dar-es-salaam inaufaulu mzuri wanavyo dai!!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa TAMSYA kwa vyombo vya habari

    Ninyi mnataka mmiliki hata mabasi,Bado sijashuhudia upendo wa waislaam kwa wakristo why? Mara waseme makafiri,so what is this? Na wanafunzi wakikristo wakisema?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Doctor D.naingia mjengoni taaaratibu kama hivii.....

    Si humu waga kuna wagojwa basi daktari nipo don't worry Jf guys.Mnanikaribisha lakini?
Back
Top Bottom