Recent content by Dpkmbaba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kuishi maisha ya ghetto chuo

    Juice cola zile wanakunywa watoto ni shilingi mia maandazi manne mia nne ukila mpakani (katikati ya asubuhi na mchana, mchana na usiku) maandazi wawili mawili na juice cola yako siku imepita inawezekana kushindia mia tano siku nzima
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instruction ya pharmacy RUCU 2019/2020

    Pole mzee competition ni kubwa mno pale alafu ndo chuo cha binafsi chenye ada nafuu bongo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada joining instruction ya pharmacy RUCU 2019/2020

    Kwa yoyote mwenye joining instruction ya pharmacy chuo cha RUCU 2019/2020 msaada kuipata
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

    Doh bora nisubiri muda wa application sasa
  5. D

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

    Nataka nijiunge hapo ukiachana na community health ambayo nimeshasoma kozi ipi naweza pata kwa ufaulu huu CHEMISTRY - D BIOLOGY - C PHYSICS - SIKUSOMA ENGLISH -C GEOGRAPHY - C MATHEMATICS - F HISTORY - C KISWAHILI - D CIVIC - D Msaada hapo wakuu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Certificate in Pharmaceutical Sciences -Je Wajua?

    Write your reply...kwahy bongo nzima vyuo vinavyotoa basic technical certificate ni viwili tu?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Aliyesomea Certificate in community health anaweza kujiunga na diploma in clinical medicine?

    Hii kozi ni tatizo aisee mbaka sasa tangu 2015 hakuna alie ajiriwa hata mmoja mimi niko home tu sina dira.😓😓😓😓
  8. D

    JamiiForums Tanzania Check mtihani wa Hisabati enzi za wakoloni (1946) kwa kanda ya Kaskazini; babu zetu hawakupita kirahisi...

    Kwa mimi niliekimbia hesabu sipati hata zero hapo ni sifuri kabisaaaa😂😂😂
Back
Top Bottom