Recent content by double R

  1. double R

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mzazi kujua kiwango cha mshahara wangu?

    Ushauri wa mama muuguzi alinambia usiwazoeshe pia wazee wako kiasi na nyakati za kuwapa.
  2. double R

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

    Mnyonyeshe kila siku hata kama hayatoki baadaye yatarejea. Kukosekana muda mfupi usizuie faida ya kuendelea kwenye safari ya siku 1000 muhimu za afya lishe ya mtoto.
  3. double R

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya mama ampende mtoto wake?

    Kuna nadharia na vitu kadhaa vinavyoelezea hii hali. Kimaumbile kuanzia kwenye vinasaba na vichocheo (hormone) zinazotolewa na mama pamoja na mtoto haswa wakati wa mimba na kunyonyesha husaidia kuongeza ukaribu wa mama kwa mtoto ikiwa na lengo la kuhakikisha mtoto analelewa (nurtured). Hii kwa...
  4. double R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa dada yangu: Ukioa mdada wa chuoni ambae kwao anaweza kurudi kirahisi tegemea kusingiziwa unamfanyia ubaya akiona majukumu ya ndoa magumu

    Hii chai, mara miss independent, mara kasaka sana ndoa, mara hana kazi. Tuelewe lipi hapa
  5. double R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The hotter she is, the worse you have to treat her

    Hii approach ukitumia kwa wanaume unapata bonus
  6. double R

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Ile kwamba mbingu yako iko chini ya mumewe. Kuolewa ni nusra. Hizo condition ni inafanya ndoa iwe lazima.
  7. double R

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Maandishi ya dini utaona kama mwanamke ana raha sana. Utekelezaji wake sasa, ndo kasheshe. Achika uone kama utahudumiwa na hao kaka.
  8. double R

    JamiiForums Tanzania Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Kil serikali huja miradi ya kuneemeka. Wako kazini
  9. double R

    JamiiForums Tanzania Sijapata kuona Mchungaji wa Kisabato akiombea Wagonjwa na wagonjwa hao wakapokea uponyaji

    Watu wanaombewa na wanapona. Utaratibu tu unaotumika ni tofauti. Huku unaombewa na watu sio mtu mmoja.
  10. double R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni Competitive, ni hunter hiyo ni tofauti kubwa kibaolojia!

    Wote tuna competition sema nyie ni violent. Wanawake wana mashindano ya kila aina.
  11. double R

    JamiiForums Tanzania Afrika haijatuma msaada wowote Uturuki

    Watu wanaweza wasirudi huku tena ndo tatizo. Labda chakula, mchele
  12. double R

    JamiiForums Tanzania Kuficha pesa Uswisi, ujinga wa kiwango cha juu

    Kwa na project hii kama nchi ni akili. Wanapata ukwasi kwa tabia mbaya za watu. Watu wenye tabia mbaya wanatengeneza pesa sana ni ujanja kujua kula pesa zao.
  13. double R

    JamiiForums Tanzania Wizara za Serikali zinapaswa kuwa kwenye Katiba kuepusha usumbufu

    Kutokuwa na utaratibu kuna leta gharama kubwa za uendeshaji na ulinzi wa mali na rasilimali. Umaskini wetu uko hapa. Tunatumia pesa nyingi bure. -kubadilisha ofisi watu bila kuwawekea target za kazi. kuanza na kutomaliza - Katiba mpya Kutopanga vizuri - Ujenzi wa shule na hospitali nyingi bila...
  14. double R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawifi inakuwaje? Kunakuwa na kutokuelewana na mke wa kaka yao

    Ukioa mwenye haiba na uwezo tofauti na dada zako, jipange tu kuweka mipaka, kuback up. Mimi sina ugomvi najitahidi kumezea na wifi wangu waungwana na maneno yanaishia kwa kaka yao.
Back
Top Bottom