Recent content by Double K

  1. Double K

    JamiiForums Tanzania CPA Review

    Asante
  2. Double K

    JamiiForums Tanzania CPA Review

    Haloo, Nauliza ivi kuna sehemu za review za CPA maeneo ya Tegeta kuelekea Bunju? Hasa weekend? Kwa anayejua msaada pls.
  3. Double K

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu nimejifunza kuwa ni hatari sana kuchagua mtu mwenye background ya umasikini

    very true kabisa. mtu mwenye imani ya kimaskini hafai hata kwa ufalme wa Mungu. maana utatamani ata Mungu sadaka zake ziwe za kimaskini.
  4. Double K

    JamiiForums Tanzania Unaishi karibu na msanii gani kitaa chako?

    YOU MADE ME :D:D:D:D
  5. Double K

    JamiiForums Tanzania Sindano ya Tetenas haipatikani hospitalini

    ni kweli haipatikani yani maisha haya mbona tutasoma na namba za engine.
  6. Double K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kujenga makao makuu ya BAKWATA kwa bilioni 5 na milioni 80

    :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
  7. Double K

    JamiiForums Tanzania RPC: Hakuna wa kuzuia mkutano wa CCM

    nimemiss maisha ya shule, hasa kusoma vitabu kama cha KUSADIKIKA NA MFALME JUHA. vilikuwa na story nzuri na za kuelimisha.
  8. Double K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

    kwangu mimi hiki kipindi nimekiangalia na kufikiria kwa upana zaidi hasa ni jinsi gani ya kuwa karibu na watoto wetu na kujua kila afanyalo na marafiki, shule tunazowapeleka kuwafatilia kwa ukaribu. Kuwa serious katika malezi na wakifika umri fulani ni kuwaeleza madhara na ubaya sio...
  9. Double K

    JamiiForums Tanzania Utafiti Mpya: Magufuli asilimia 89, Jakaya wa Pili, Lowassa umaarufu washuka

    hahahah natamani nikununulie futari kama umefunga au lunch kama hujafunga maana its very true.
  10. Double K

    JamiiForums Tanzania POLL: Watanzania wangapi wameendelea kufuatilia bunge baada ya UKAWA kususia?

    nimeamua niangalie comedy.
  11. Double K

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    hahahaha hii ikienda mahakamani nitajua kweli inamaanisha maana waziri alikuwa nani vile?????????????
  12. Double K

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    huu ni mwaka wa 55 tokea uhuru sasa sijui subira ipi maana kama ni mtoto alizaliwa ameishafika umri ambao anaweza kustaafu. bado tuendelee kuvuta pumzi lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  13. Double K

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    na kwa hali hii katiba mpya tuisahau. tutapata katiba ileile ikiwa na cover jipya.
  14. Double K

    JamiiForums Tanzania Mikutano yote ya Kisiasa nchini, yapigwa Marufuku! kuanzia 07/06/2016 hadi usalama utakapotengemaa

    hivi mauaji na mambo mengine intelijensia inakuwaga imelala au? naona Tz intelijensia iko vizuri kwenye kubaka democracy.
  15. Double K

    JamiiForums Tanzania Hoja ya dharura wanachuo 7,000 UDOM: N/Spika aahirisha Bunge baada ya wabunge kwa pamoja kutoka nje

    Ni wanafunzi zaidi ya 7,000
Back
Top Bottom