Kila siku watawala wanawaza kufanya yale yanawapa umaarufu wa muda mfupi ili wapate kura za wananzengo huku wakikipa kisogo kilimo chetu, sekta ambayo inaweza kutoa ajira nyingi na wana wa taifa hili kupata utajiri, kushiba, kuwa na akili timamu na kudhibiti magonjwa kwa kiasi kikubwa. Ardhi...
Upo sahihi 100%
Eliminate yetu imeshindwa kabisa kusaidia Taifa hili. Hii leo Maprof huko vyuoni na kwenye research institutions wameshindwa kulisaidia taifa na badala yake 'wanajikomba' kwa wanasiasa kwaajili ya teuzi.
Hadi tutakapoacha kuamini ktk teuzi ndo tuishi, ndo utakuwa manzoni wa...
Rais Samia ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokea Zanzibar - Fatma Karume akizungumza na DW leo tarehe 3/4/2021.
Nini maoni yako.
#MitanoTena
Tayari, mambo hadharani. Mambo yamedhihirika. CCM tayari wamekiri kuwepo kura feki katika uchaguzi. Kwa kauli hii tu bila kujali zililetwa na nani inatosha kuthibitisha kuwa uchaguzi ile unakosa heshima ya kuitwa uchaguzi hata kama kura hizo zililetwa na CHADEMA kama ambavyo Bw. Polepole anadai...
Hoja za majumuisho ziko palepale. Hoja za msingi zimetolewa, kasikia hoja upande mwingine, kafundisha mengi, kaambiwa mengi, kwahiyo haya yote yanapaswa yafanyiwe majumuisho. Zaidi ya yote tulihitaji mdahalo wa wagombea, hapo sasa hoja za majumuisho zingenoga. All in all, Lissu ni brain kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.