Recent content by Doto Dotto

  1. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Chivayo alikuwa na kashfa kila alipotia mguu!

    Haya Maisha bila kashfa, hujuma, utapeli, umafia ujanja ujanja, na uharamu huwezi kutoboa
  2. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

    Wasukuma watuambie hii elininyo tafasiri yake ni nini? maana mvua zitaanzia kwao kanda ya ziwa
  3. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Ulikutana na mnyonge mkamuonea. I wish Mimi ndo mngekuwa mmenifumania. Mngetosha na mapanga yenu
  4. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM walia chonde chonde marekani hilo rungu la Donald Trump lisitufikie, waomba waende Marekani kujieleza bunge la senate / congress

    Yan Kuna viongozi kama 13 hivi wakipigwa pin nitafurahi saaaaana
  5. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

    Yan me wanawake wa aina hii nawaonaga km wanaume wenzagu
  6. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Nina bahati ya kudate na wanawake wenye makalio makubwa

    Makalio makubwa na❤️ sana
  7. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa kumtoa sasa Tundu Lisu

    Tundu Lisu asitoke
  8. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Mungu yupi?
  9. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Vyakula Maalum vya kuboresha mbegu za kiume

    🤔 tumbo nalo Lina kazi Aisee!!
  10. Doto Dotto

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samaki hawa wapi watamu zaidi?

    Yan kibua hata Kwa risasi me siwezi kula Wana harufu flan hv ya ajabu Aisee!!
Back
Top Bottom