Recent content by dorothea millanzi

  1. D

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    angalia kwenye matokeo ya general yaliyotolewa na tcu mbona mi nimeandikiwa hivyo kwenye profile lakini chuo nimeopata
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hatua na taratibu za kuhama chuo au kozi

    Nahitaji msaada ndugu zangu naweza kuhama toka chuo cha private kwenda government...nisaidie kuhusu hilo plzz
  3. D

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Wapigie watu wa NACTE wanaweza kukusaidia. Pole.
  4. D

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    mimi nimeelewa kuwa hy j3 tutakuta status kwny profile zetu waliochaguliwa watakuta status ya SELECTED. If not selected utatakiwa uchague machaguo mengn, kwa hiyo kwa kifp watu wa dip selection bado hazijatoka rasmi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    mmh tunasubiri hiyo jumatatu maana duuh wametuchomesha sana mahindi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu ipo kibaguzi, direct entry ndio wamepewa nafasi zaidi vyuoni

    Duuh ni majanga kwlkwl cyo peke yk ndugu yangu yani 99% ya watu wa equivalent tumebaki na kizungumkuti..inauma sana aisee.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Vipi kuna watu wa equivalent waliochaguliwa udom?

    Jamani ndugu zangu mlioaply kupitia NACTE vp kuna aliyechaguliwa UDOM? Maana mi mwenzenu ni majanga tu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    jamani naomba unichekie DOROTHEA MILLANZI S0648/0003/2004 college of education
  9. D

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Jamani wadau mlioaply Udom vp selection tayari??maana daah kimya sana!!!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Wadau naomba mnijulishe kama SEKOMU wameshatoa majina ya watu wa bachelor?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    UDOM bado...yani wanatupa presha tu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Jamani ndugu zangu mlioaply kupitia NACTE kuna changes zozote kwenye profile zenu?maana mi kwangu hakuna badiliko lolote..tujulishane wadau
Back
Top Bottom