Jana nimeona live hii, ilikuwa kama movie. Walipita samora wakapiga risasi zao kutishia nadhani wakapata njia wakapenya, kulikuwa na foleni sana. Bora walikamatwa.
Vitu vingine hata sio vya kuomba ushauri...imagine mama yako angekuwa hawezi kufanya hivyo vitu ingekuwaje kwenu...naamini kuna vitu ungevikosa sana...upo tayari familia yako ivikose? Tafakari!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.