Recent content by Dorogo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Rwanda wawaua wanamgambo wa Kijihadi Msumbiji

    Hayo siyo maoni au msimamo wa serikali ya Dodoma.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sikuabliani na Magufuli kuhusu somo la Historia. Kama ni Uzalendo, watoto watajifunza kwenye somo la URAIA

    UJASIRI WA KUPINGANA UNAUTOA WAPI WAKATI AMEKWISHA AGIZA?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu Tawala aagiza uchunguzi wasababu ya Walimu wengi kuomba kustaafu kabla ya kufikisha miaka 60

    Taaluma ipi inaathirika wakati Taaluma inapanda kila mwaka.Kiongozi wa ajabu kabisa,alipaswa kuishauri serikali kuajiri walimu wapya.yeye anataka mwalimu mzee aendelee kufundisha lengo lake nini huyu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

    wanawake tangu siku wameongea na nyoka kisichojulikana sio wa kuwaamini.hata uzao wao wanaua
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bibi wa miaka 72 arejeshewa eneo la ekari 27 alilodhurumiwa kwa miaka 10

    Rais wetu kuna mazuri mengi sana anatutendea
  6. D

    JamiiForums Tanzania Manyara: RC aamrisha watumishi wa idara ya elimu waliokaa muda mrefu waondolewe

    mahali pengine alipotembelea aliungana na MKURUGENZI kuhakikisha watumishi wa ngazi ya chini hawalipwi posho ya masaa ya ziada huku akijua kuwa ndio wavuja jasho pia maslahi yao hayajaboreshwa kwa miaka mitano na madeni yao hayajalipwa yakiwemo ya uhamisho,utafikiri ni dhambi kubwa kuona...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Kumbe zilisubiri mwezi wa uchaguzi kubadilishana na kura
  8. D

    JamiiForums Tanzania Posho za maaskari kulikoni, tarehe 30 imeshapita au tumeishiwa

    Nini kuishiwa? Thubutu.Serikali ya kuishiwa siyo hii ya awamu ya tano.labda wana verify tu,maana malipo hewa mambo ya ndani ndio sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ibambangulu, nabii mtenda miujiza aliyetabiri kuzaliwa kwa Mwl Nyerere

    Nyerere ni habari ingine wacha kabisa,huku MBULU Manyara Kuna nabii alijulikana kwa jina la Saigilo,kipindi Kama hicho Cha ibambangulu alitoa unabii uliotimia mwingi sana,ukiwemo wa mwalimu Nyerere
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali kujiuzulu iwapo itathibitika Wakulima wa korosho hawalipwi Tsh. 2,640 badala ya Tsh. 3,300

    Naomba kuuliza hivi hiyo kampuni ya Kenya iliyonunua koroshow ghafi lini ilijenga Viwanda vya kubangua?Je, bei walionunulia hakuna kampuni au tajiri wa Tanzania anayeweza kununua au kuna bifu na sirikali?
  11. D

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Rais Magufuli afungua kiwanda asema Tanzania ina fedha za kujiendesha kwa miezi zaidi ya 5, haijawahi kutokea!

    Naomba kuuliza,fedha hizo ni za serikali?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    Unataka kumpangia Raisi wetu?
Back
Top Bottom