Recent content by doriscynthia

  1. D

    JamiiForums Tanzania Zitto amrushia 'kijembe' Prof. Muhongo

    Awe rais wa nyumbani kwake na sio nchi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ampigia Membe kampeni bungeni

    Warioba baba wa watu atakuja kufa na presha za watu ni kwa nini awaokoe alieche hilo jahazi lizame
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli atangaza kugombea Urais 2015

    Du watu wanang'ang'ana kwenda ikulu mwaka huu mpaka kieleweke watanzania wamesha amka sasa
  4. D

    JamiiForums Tanzania URAIS 2015: Ngano na Magugu zimemea pamoja palizi imeanza!

    Chaukachara anasema ukweli ni magugu tupu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro na uchambuzi wake kwa Lowassa

    Wafundishe watu mtatiro waweke darasani basi wasipoelewa basi tena sikio la kufa halisikii dawa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fremu ya duka

    Habari himu ndani wakuu nahitaji frem ya duka la rejaraja eneo tegeta
  7. D

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

    Fremu imekodishwa nalipa 150,000 kwa mwezi eneo mbezi beach Goigi inatazamana na jengo la Shamo house bei tutapiga hesabu jumla ya vitu vilivyopo kwa bei ya kununulia
  8. D

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

    Nauza kuanzia frem mkuu pamoja na vitu vyote vilivyomo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

    Samahani wakuu ni kuanzia frem pamoja na vitu vyote vilivyomo
  10. D

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya ujenzi linauzwa

    Wasiliana na 0763 362948
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nauza hardware

    Iko mbezi beach goig standi mawasiliano 0763 362948
  12. D

    JamiiForums Tanzania Pata michoro ya Interior design na Architectural kwa Nyumba/Jengo lako

    Kwa ramani ya nyumba ni shilingi ngapi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hardware inauzwa

    Iko mbezi beach goigi kituo cha mabasi opp shamo jengo la CRDB mawasliano 0763 362948
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Mapenzi: Akatwa kichwa na kisha kuchemshwa katika sufuria kwa kudaiwa kupora mke wa mtu!

    Du!!! Jamani hata waweke ulinzi shirikishi kwenye maeneo ya hatari kama hayo
Back
Top Bottom