Recent content by dorin

  1. dorin

    JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Wilaya apiga marufuku vijana kushinda vijiweni

    Watupatie ajira. hatutakaa vijiweni
  2. dorin

    JamiiForums Tanzania Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

    why DNA?
  3. dorin

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naacha pombe

  4. dorin

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    ndio hapo sasa
  5. dorin

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    acha tu bestie
  6. dorin

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    Nisemeje nina nauli wakati sina
  7. dorin

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujalipwa mshahara zaidi ya miezi miwwili tukutane hapa

    Ni mwezi wa tatu unakatika Mshahara tunausikia kwenye bomba, Tuna hali mbaya sana, kwa mwenendo huu sijui tutafikaje? Hivi kuna kipengele chochote kwenye sheria za kazi kinaongelea kucheleweshwa Mishahara?
  8. dorin

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatutambuani kwa ukabila wetu bali kwa utanzania wetu

    Wazinzi ndio akina nani?
  9. dorin

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Tunamsumamisha Lowasa kugombea
  10. dorin

    JamiiForums Tanzania Za chini ya Kapeti juu ya Mwili uliokotwa jana katika moja ya Chuo huko nchini Nicaragua ni kwamba Marehemu ni...

    Hivi kama kijijini kwenu kuna bucha moja tu LA kuuza nyama halafu mbuzi akaibiwa kijini hapo kesho yake mkakuta ngozi ya yule mbuzi jirani MA lile bucha. Kwahiyo mtasema mwizi ni Yule jamaa WA bucha ama? Huo utakua ni upopoma WA kiwango cha lami
  11. dorin

    JamiiForums Tanzania Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Dada unatufundisha nini wadogo zako?
Back
Top Bottom