minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 21,635
- 20,365
Kwa jinsi mahita kingai walivyofanyia unyama walinzi wa mbowe kuwafunga pingu mikono miguu saa 24 kila siku kuwapiga kuwatesa kumporeza Moses lijenje lt urio kwa kesi hewa tuhuma hewa feki ugaidi ambao hawana haupo ni lazima Asikari wa jwtz wajisikie vibaya kwani ni udhalilishaji wa kiwango cha kutisha sanaSi tuliambiwa nchi inaendeshw na waziri mkuu (mtoto wa Magufuli) aliyebaki labda aamue yeye kuitoa kesi DPP anafuata tu maelekezo hadi maelekezo kutoka juu kwenda chini yafike .
Bila hivyo Mbowe anaweza kufungwa ili isemekane mashahidi walitoa utetezi wa uongo ili Mahakama isiwakute na hatia.
Moja 9 chuki itatamaliki miongoni mwa jeshi la wananchi na jeshi la polisi.