Kuwepo kwa Muungano wa Tanzania kumekuwa ni jambo la kupigiwa mfano kwa upande mmoja na lenye kutiliwa mashaka kwa upande mwengine kutokana na kukosekana ushahidi wa kisheria unaothibitisha kuwa umefanywa kihalali kwa mujibu wa hati ya Mkataba wa Muungano.
Hizi ni nchi mbili ambazo ni Jamhuri...
Na sio kweli kwamba yeye kaamrisha askari wawauwe wa husika. Hali ilikua hivi: Baada ya taarifa ya kuuwawa kwa Mzee Karume na wauwaji kuikimbia mashamba. Baraza la Mapinduzi walikutana ili kufanya nashauri ya kuwakamata wa husika. Ukweli wengi wa viongizi hao waliziduwa na matumbo kuwa makubwa...
Kifo cha Karume kilisababishwa na Seif Bakari na Khamis Hemed Nyuni hawa ndio waliokuwa na dhamana ya kikosi maalum cha kumlinda Rais Karume. Tayari aseif Bakari ameshapata taarifa ya kutibiwa kwa silaha na hakuchukuwa hatua ya kulinda Karume angalau mpka zitakapo kamatwa silaha zilizoibiwa...
La ajabu lipi hapo?. Nyerere alitaka Biafra ijitenge na Nigeria unaona ajabu Zanzibar kujitenga na Tanganyika?. Sudani ni nchi moja na imejitenga na sasa kuna Sudan mbili. Acheni Zanzibar ijitenge maana Tanganyika imejigeuza KOLONI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbongowakweli. Mbona unatafunia maneno au una asili ya utumwa au una damu ya kiarabu?. Mbona unaibana historia mimi nasikia walikuwa wakiwafira wanaume wa kiafrika na wengi wameuwa mabaradhuli, hii hujaisikia au unamezea kwa vile ni tendo la aibu maana waliowafanyia hata Wayahudi huko ARABUNI...
Mimi nafikiria Chadema wanaona mbali maana tunaambiwa na wazee kwamba "mtaka cha mvunguni shurti ainame" kaw hivyo Chadema lazima wainame ndio wakioate hicho cha mvunguni bila ya kuonama Hataweza kukipata.
Turufu au uti wa mgongo kwa Chama hicho ipo mikononi mwa Tundu Lissu. Kama...
Bwana Mohammed Saidi. Kisiwa cha Zanzibar kina historia ndefu, waandishi wengi wameandika historia ya kisiwa hichi, hata hivyo kuna mambo mengi watoto wetu hawayajuwi kwa vile hayasomeshwi au kupewa nafasi katika vyombo vyetu vya habari.
Watoto wetu husomeshwa habari za Mapinduzi, jambo ambalo...
Nyaru kwani hawa mababerian na Vikings hawa washenzi hasa wa kizungu ni watu makatili wa kila nyama mbichi waliuzana kwani hao Maslavia ni wazungu na wanaitwa SLAVIA Maana yake ni Slave.
Battawi. Ukweli fitna zinatoka Bara kuja Zanzibar. Hawa watanganyika ndio chimbuko la fitna yetu. Na hivi sasa wameshakamata serikali na kwenye nafasi nyeti na hivi sasa wanataka kufanikisha kuwepo na Serikali moja. Maana Turufu za Chama cha CCM hivi sasa ni wale wanachama wao wenye uhusiano wa...
Kilicho wa fanya Waingereza kupiga marufuku biashara ya utumwa ni Mapinduzi ya viwanda ambayo yaliweza kuleta afueni ya kuwapeleka watumwa ulaya. Baya zaidi sasa wakaja kuzipora nchi zao hao watumwa wenyewe na kuwatumia katika ardhi zao na kuwalazimisha kuzilima Ardhi zao wenyewe hao watumwa...
Horsishoe tumewekewa "Jukwaa la Historia" Sasa unaposema kwamba mtu anae andika hivi hua hana kazi ya kufanya. Hebu jitathmini uone kosa lako la kukemea mtu anaetumia mlangu huu wa Jukwaa la Historia kuwa ni mpuuzi hana kazi ya kufanya.
Wakurochi unazungumza Waingereza mbona wao ndio walifunguwa Bank ya Barclay kwasababu ya biashara ya utumwa hata hao Waingereza waluzana wao kwa wao katika biashara ya utumwa. Hata Malkia wa I wa Uingereza alifanya biashara sana ya kununua watumwa. Wachina, wahindi, Waafrika na wazungu wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.