Recent content by DOREENZ

  1. D

    Wajameni mwaka huu nahitaji kumwoa mwanamke umri miaka 27-34

    Hodi wanaforum, nami leo natafuta mwanamke mrembo, muelewa, mwenye mtoto mmoja tu au asiye na mtoto ila ana uwezo wa kupata mtoto. Sifa nyingine ni upole, tabia njema, mpenda maendeleo. Mwenye mtazamo chanya(Positive thinker). Pia anayejipenda( smart). Umri ni kama nilivyoelekeza hapo juu. Asiwe...
  2. D

    Siasa za visasi: Rwanda yapandisha ushuru kwa magari ya mizigo yanayotokea Tanzania

    Kagame ana gundu. Sijui anajua athari ya hatua hiyo ktk uchumi wa mwananchi? Ongezeko la kodi litamwathiri zaidi mlaji wa mwisho. Ajue kwamba nchi yake haina bandari. Najua an hasira. Lakini hatuwezi.
  3. D

    natafuta bwana

    Natafuta Bwana? Lazima uwe na hela? Nadani sharti lingekuwa mapenzi ya kweli na uaminifu. Mahela ni matokeo. Akiwa na hela leo, kesho akikosa si utamtosa! Serikali pia huwa inaishiwa. We bweteka tu, mi' natumbua macho tu.
  4. D

    Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

    Mimi ni mpare, nimempenda msichana lakini anahofia kudumisha uhusiano kwani baba yake mdogo aliyemlea alimuorodheshea makabila ya kuolewa kwayo. Lolote lililopo katika orodha hiyo ni halali. Sasa mwanzo tulikubaliana bila kujua mimi ni kabila gani. Alipojua tu, mapenzi yameanza kupungua. Hebu...
  5. D

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    Bhululu, shardcole na chitemo naomba niwashaurini: Tafadhali ukurasa wa jamiiforums si wa matusi. Kama hamna mawazo mazuri na ya kujenga, ni bora mkayaaga mashidano ya ukurasa huu. Hapa ni homepage of great thinkers. Mawazo finyu na yaliyokosa busara yashindwe na yafutike katika nguvu ya aliye...
  6. D

    Natafuta Mchumba wa kuoana naye.

    Wengine kama hamna cha maana ni bora mnyamaze sio kumnyanyapaa dada fatma. Yeye ametoa dukuduku lake na ameweka wazi mahitaji yake.dada fatma, nikushauri: Hujasema wewe una umri gani na unataka mchumba wa umri gani? Kila la kheri.
  7. D

    Nafanya kazi na nimeajiriwa ila ni ngumu balaa nataka hata kuacha japo sijapata ingine

    Uwe mbunifu na flexible tayari kwa kupokea vitu vipya. Pia uwe mtu anayependa kujifunza. Epuka 'mambo tayari'. Umezoea kukopi na kupesti nini?
  8. D

    Selection upload TCU

    ZE DUDUZ we ni mkali sana. Hakuna haja ya kunywa gongo. We ni mtambo wa kutumainiwa. Ninakupa kichwa. Keep it up but with accuracy and credibility.
Back
Top Bottom