Recent content by Doreen Mohamed

  1. D

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    Dr. slaa anaweze. Ila kama Mbowe atagombea basi tumpe kura zetu kwan anaweza.
  2. D

    Uchaguzi 2010: Masilahi Ya Taifa Kwanza!

    Ni mawazo mazuri nayenye busara kuwaza na kuplan kuhusu masilahi ya taifa letu. Tunapaswa kuchangua mtu aliye capable kuongoza taifa. jamani hacheni ku ponda vyama vingine kwani tuna yataka mabadiliko ya kweli na huru wa kweli Tanzania.
  3. D

    Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

    Mpoki punguza kutaja majina ya watu kwani walio wengi hawapendi. Hacha kuonesha nikiasi gani hauko styled up. try to disign some thing else coz we are getting used of the stuff you talk every day. People stop critisizing them just advise them on what to do ok.
  4. D

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Nikwafaida ya wote kwani wasingekuwepo msinge pata la kuongea hacheni unafiki, its a matter of advising them about what to, However,komedi try to be creative and go back to school for advancing yourselves ok! I like you guys but try to style up.
Back
Top Bottom