Unapokua unachuki kwa Mwanafunzi fulani na ikatokea huyo Mwanafunzi akafaulu unaweza usitambue uwezo wake bali ukaanza kuwaluamu Walimu kwa kutunga mitihani mirahisi.
Unapokua Mwalimu mwenye chuki kwa Mwanafunzi fulani, siku huyo Mwanafunzi anapofaulu Mtihani unaweza usitambue uwezo wake bali ukaanza kuwaluamu Walimu wenzako kwa kutunga mitihani mirahisi.
Kaka!
Kwani ile hati aliyoionesha Sefue si ilikuwa binded, na
aliionesha mchana! na
Waandishi ndo waliipiga picha!
Huoni kuwa hii hati kwenye picha ni kama imetolewa copy na haijawa binded na picha imepigwa usiku na aliyeishika ndo amepiga picha,
Kabla ya kuulizia hiyo fax Jiongeze kwanza mkuu.
Naomba kupata elimu;
1. Mapigo maana yake ni nini?
2. Mashambulizi hayo ni ya namna gani?
3. Kwani ni kina nani watawashambulia ili na wao wajibu mapigo?
Nadhani nitapata cha kusema baada ya kupata ufafanuzi wa haya maswali kwa kuwa hadi sasa sijaelewa hii kauli.
Sijaipenda hii dharau na wala si kitu cha kussurport kabisa, kila mafanikio yana misingi na misingi hii lazima iheshimiwe. Hii ni changamoto kwa kina Mbowe na Dr. Slaa na wao siku moja watakuja kudharauliwa kama hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.