Kwahiyo unataka kumwambia, Vanessa mdee,adam mchomvu, b dozen, Dogo thanks, g nako , ...the list goes on sio wajanja? Nimekaa arusha kuna mitaa nakiri ni wajanja kuliko ata mitaa ya dar. Arusha wana touch of outside world, ni tofauti sana na mikoa mingine Tanzania. Dar kazi yetu ujana wa mdomoni...