Unakumbuka MASOGANGE alipita na 150KG za METHANE[unga] pale JK airport akaenda kudakwa south Africa na mzigo kutaifishwa? Unakumbuka kundi la BOB MICHARAZO wakina Dogo hamidu na mr blue...wote hao walikua wanabebeshwa UNGA,Ngwea na M2THAP waliitwa south na KINJE,watu wa kule wanasema walikua...
Job ndugan alienda kutibiwa india alipanda airbus nauli alilipiwa 15mil..matibabu zaid ya milion 400..mbona hakutibiwa hapa? Mlamba makalio huna point✌#noreformnoelection
1.Me nimeacha pombe nina miaka 3 ila haikua rahisi kabisa kuna kitu kinaitwa RELAPSE ni noma..cha kwanza kabisa mshirikishe mungu wako mana hapo unapambana na roho...asikudanganye mtu utaoenda kuombewa utaacha pombe NO,anza na moyo wako..
2.Kingine futa makundi yote ya pombe ikiwezekana badil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.