Recent content by donyen

  1. D

    JamiiForums Tanzania Design and build services (6bedrooms mansion)

    Beautiful indeed
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wanafundishwa utii, unyenyekevu na tafakuri kabla ya kunena, Wasabato hayo hayapo kila muumini anajua na aweza bishana na mchungaji wake!

    Kuna interview moja inapita pita social media, jamaa anasema waislam huacha viatu vyao mlangoni wanapoingia msikitini ila wakristo wanaacha akili zao mlangoni. Nadhani you are reflecting what he is saying
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    Hatari sana… umelenga mule mule yaani wanajiona malaika; plus ujuaji mwingi kweli. Majority ni women ambao upringing yao haikuwa nzuri kwa kumkosa Baba wakumkosoa au kumchapa au kumthreaten au kum encourage etc
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!

    We hakika unawajua vyema, hii ndio sentensi yao pendwa 🤓 sass jichanganye daaah 🏃🏾🙌🏿
  5. D

    JamiiForums Tanzania Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Wakati huku US na allies wake wa NATO wanatofautiana mambo kadhaa, waarabu wanaonekana wanataka kuungana na kuna shinikizo kubwa kwenye nchi zao za kuwa support Palestinians. I can’t imagine mwisho utakuwaje hqpo middle east, mawe yataongea.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, Netanyau anataka kufanya Mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza, Palestina!?

    Ndoto za Alinacha… Taifa ambalo wamedhibitiwa na kila aina ya silaha, madawa,chakula, umeme na maji na Taifa ambalo linawezeshwa silaha za kivita na ulinzi… huoni kama uwanja umeinamia upande mmoja? Wote wakutane face to face halafu wapambane ndio tujue nani mkali…. Haki itasimama hata kama...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Ges toka Nigeria- Ulaya unaenda kuikosti Niger?

    Daa.. aisee hili bonge la muvi. Ila siasa za Ufaransa kwa waafrika magharibi ni mbaya sana; wamewanyonya sana waafrika kupitia ile mikataba yao ya benefits of colonization. This has to come to an end now… enough is enough
  8. D

    JamiiForums Tanzania Njia ipi nzuri ya kumtoa mtu kwenye uraibu wa imani ambayo sio sahihi?

    Aya zimevurugika lkn anza na aya ya suratul Baqara 256 kisha twalii kidogo aya ya 2-7 ya hiyo hiyo Al Baqara
  9. D

    JamiiForums Tanzania Njia ipi nzuri ya kumtoa mtu kwenye uraibu wa imani ambayo sio sahihi?

    Acha kitabu kinachoitwa’Al Furqan’ ambacho maana yake ni KIPAMBANUZI au HOJA kijibu swali lako [emoji116]
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hatufunulii tukaujua ukweli kama yupo na njia gani tufuate?

    Kuna dini kwa kujifagilia haijambo… waambie sasa walete aya au andiko kuthibitisha hoja yao… hola. Wakiletewa na dini ya mwenzao… wanageuka kisirani. Duh [emoji849]
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waisilamu tujadili vifo vya Mitume

    Nikichojifunza kwenye mijadala mingi ni kwamba, waislam hutoa aya za Quran ama hadith za mtume kama ushahidi, LAKINI wakristo hawafanyi hivyo ; hawatoi hata aya ya Biblia kuthibitisha mambo au jambo Lao. Instead wamekuwa watu wa ku react na kuanza kutukana upande wa pili. Kama waislam wame...
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Mkuu agiza Pepsi baridi nitalipa [emoji4]. Ila mi najiuliza hivi ukigundua mwanamke kabadilisha ubini wako, sheria haiwezi kumuhukumu ukamchukua huyo mtoto?
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wanawake nyie

    Huwa wanadhani wanaume hawaumiii kihisia…
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Sijaonana na mwanangu miaka mingi baada ya kugombana na mamake, naenda kumuona Aprili

    Daa… kumbe tuko wengi tunaopitia hizi changamoto. Ila akina Mama pia mbona mnakuwa visirani hivyo? Na sio mara zote akina Baba ndio wenye tatizo Bali hata wao ndio huwa kikwazo ila sheria ya malezi inawabeba na kuwapendelea basi wanaitumia kama fimbo ya kutuchapia… daah
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa ya Kafulila na Jesca Kishoa

    But why? Miaka 18 watoto is watamsahau Baba na Mama atapata advantage zaidi; na wengine huwajengea chuki watoto kiasi wanakua hawana mpango na baba. Mimi kuna wakati nadhani Mahakama ili review hizi sheria maana kama inapendelea upande mmoja, na akina Mama Wengi hu take advantage ya hizi sheria.
Back
Top Bottom