Apo ni kumuomba mungu upangiwe sehemu nzuri japo hakuna sehemu mbaya kama unaanza kupambana ni suala la muda tu. Kikubwa ni kupambana. Nakumbuka tulifanya interview MDAs and LGAs mwaka jana lakin kuna watu walipangiwq MDAs na wengi walipangiwa LGAs kikubwa upate check number tu
GPA kwa utumishi sio kigezo cha kukosa kazi. Kuna rafiki yangu alipata GPA ya 2.2 computer engineer UDOM mikeka miwili nyuma katoboa ofisi ya waziri mkuu, ajira, watoto, na wenye ulemavu saiv anakula zake induction coz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.