Recent content by Donone

  1. D

    Kupanda miti ya mbao

    0762 279 145
  2. D

    Naombeni kujuzwa hili

    Kwa yeyote anaejua gharama za kujenga greenhouse anisaidie, japo najua zipo za size mbalimbali ila mchango wako no muhimu kwangu. Ahsante
  3. D

    Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    Hupigi kura? Unamkomoa nani sasa
  4. D

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Mimi siasa naweka pembeni na nikirudi kwa upande was dini yetu huku mtumishi was Mungu haruhusiwi kutuoa siri au matatizo ya muumini hadharani hats kama wametofautiana, turejee kwa Bishop Gwajima huyu huyu kipindi kile amemkashfu Kadinali Pengo, Kadinali hakujibu mapigo zaidivya kuwaomba waumini...
  5. D

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hana madhara yoyote sana anapunguza nguvu ya Ukawa kwani yeye ndiye aliyekuwa boss wa kuuza nyumba za serikali ambazo zinalalamikiwa Haaaa haaaa hapa nahic ukawa wawe makin watu wameshasoma upepo uckute wanaepa kitanzi kimya kimya, wanajua ukawa wakishika ikulu basi watakuwa watuhumiwa...
Back
Top Bottom