Recent content by Donjama

  1. Donjama

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Asanteh sana mkuu...japo hizo rates za £ sijafahamu kwa Tz shs ni bei gani?!
  2. Donjama

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Naomba unisaidie kufahamu gharama za ACCA ni bei ngapi mkuu?!!
  3. Donjama

    Mwenye maswali yanayoulizwa kwenye peper ya assistance tax management officer

    Daah....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nasubiria maswali piaa...
  4. Donjama

    Joining Instruction ya Tura Sekondari, Tabora

    Ukiingia portal ya Ajira leo kuna link inayoonyesha jinsi ya kupata Joining instructions kwa shule uliyochaguliwa.
  5. Donjama

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    aiseeeh....ngoja nipambane
  6. Donjama

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Bado mkuu! ni wapi huko wanasoma na ni bei gani?
  7. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    [emoji1][emoji1] kausheni tuu
  8. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    Sijaona PDF mkuu, naona kila mmoja kaambiwa kwenye inbox yake tu
  9. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    wametoa ...kila mmoja kajibiwa kwenye account yake[emoji3577]
  10. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    ulifanya post ipi? matokeo kila mmoja kapata kwa akaunti yake binafsi
  11. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    Hukufanya mtihani kwani? namba za mtihani kama unazo zinaonekana hapo kwenye profile yako
  12. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    Hongera mkuu, kapambane...
  13. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    mkeka umenitema mkuu! vp wewe?
  14. Donjama

    Mkeka wa TRA lini?

    naona hawajatuma mkeka woteee....wamejibu kila mmoja kwa account yake
Back
Top Bottom