Hiyo pesa umeipata Kwa njia Gani!!? Ya mkopo au ni mishe zingine out na mkopo!!?
Pili ulishawahi fikiria changamoto utakazokutana nazo ukiwa umeacha kazi endapo unarun hiyo biashara!!? Ipi itakayokuwa financial assistance katika biashara Yako!!? Je siwezi fanya biashara katika hii 30M bila...
Hapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....
Waulize wenzako watakwambia 😂😂😂 wewe ulikimbilia kudownload Kwa kusikia tu bila kuwa na maelezo kamili... Asimame mwenye note 10 pro yenye gcam na wewe ambaye hauna gcam Kwa picha nzuri Yako ambayo Haina itaonekana takataka tu😂😂
Pixel ana 12mp ila huyo Redmi na 108mp zake anaonekana kama Tecno tu Android update pixel anamzidi Redmi bugs na crashes Redmi anamzidi pixel inshort Bado sana kwenye kufananisha simu kaka 😂😂😂 ukitoa betri ukubwa wa screen na microsd ndivyo vitu ambavyo 10 inaizid pixel Tena pixel 3a maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.