Recent content by donald james

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

    nasoma Ardhi,Geomatics is the best, kama umefaulu vzur,nakushaur chukua hyo,japokuwa mi sisomi hyo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Vocha nacte inauzwa 35000

    ni ile ambayo unalipa via m pesai.e NACTE CAS?tuambiane jaman
  3. D

    JamiiForums Tanzania UDSM mko wapi, shindano la ubunifu?

    Jaman vijana wenzangu,hv vtu ni aibu taifa linakutegemea kuwa mwanafunz wa elimu ya juu upambane na mazingira kutokana na elimu unayoipata halaf wewe unajisifia et unakomaa na madesa kumaintain GPA,tunaenda wap sisi? mi nlifikiri ukisoma post Hyo ya kaka hapo unaweza fikiria namna gani ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    yakitoka utajua tu usiwe na hofu ,kama wakufaulu utafaulu tuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    pita tu kama hujaelewa
  6. D

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    huu ni mchezo unaowasumbua wengi haxwa wanaume na kutokana na kuuzoea weng hupenda kujiita wagumu,SASA NINAOMBA MCHANGO WAKO WA MADHARA YA HUU MCHEZO UWE MUATHIRIKA AU USIWE MUATHIRIKA WA MCHEZO HUU ILI KILA MTU AJUE MADHARA YAKE NA NAMNA YA KUUEPUKA,AHSANTE
  7. D

    JamiiForums Tanzania Uharamu wa nguruwe kwa mwislam unatatokana na nini?

    kama unaweza kula bac kula
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    Nashukuruni wakuu,naona sasa hivi kila mtu anavutia kwake,mungu akipenda nitasoma archtecture
  9. D

    JamiiForums Tanzania Four figure! Why four not five or three?

    ni kweli,tena sio karibu zote,ni zote zpo in 4 decimal places
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    sawa mkuu nashukuru kwa ushauri wako
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    Ahsante mkuu kwa ushaur,vp kuhusu mtu ambaye hana kipaj cha kuchora,itamfaa?nadhan umenielewa
  12. D

    JamiiForums Tanzania Breaking News

    i don knw...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni bora kati ya Civil Engineering na Architecture

    owk mkuu,but wanasema kuwa civil eng anamtegemea archtect ktk field zake
  14. D

    JamiiForums Tanzania Breaking News

    usingemuelezea mkuu,angetambua hata kesho au wiki ijayo au hata mwakan
Back
Top Bottom