Recent content by Dona Kantri

  1. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Ntokela ilihuzunisha sana

  2. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Unamuonea huruma mtu ambae hakuonei huruma...imagine unamfikiria sana mtu ambae hakufikirii hata kidogo
  3. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke na tuache kuwakabidhi haki zetu wanasiasa

    Unahisi umeongea utani...kumbe ni bonge moja la point
  4. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Morogoro. Amlaumu Mbunge Abood kwa kuua ajira Mjini Morogoro

    Kusema kiwanda nikusababisha taharuki hahahaa
  5. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais mzuri ndani ya mfumo mbaya

    Mzee ukiangalia anania ya dhati kabisa ya kuboresha maisha ya wananchi wake...tatizo linaanzia ni njia gani apite ili kuwin dhati ya moyo wake, mzee hana mbinu na haamini katika washauri wake....wasaidizi wake wako very bright lakini ili waendelee kuwa wasaidizi wake wanatakiwa...
  6. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Trump anadai kura zimeibwa

    Watakuwa wanaanda mbinu za kumpiga Trump😂😂😂
  7. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Dismas Ten amtukana shabiki wa Simba SC

    Mwandishi umejuaje kama huyo ni shabiki wa Simba?
  8. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Mtu aliefirisika viambata vinavyo thibitisha kufirisika kwake vinapatikana wapi?
  9. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania CCM yawateua Dkt.Godwin Mollel kugombea Ubunge Siha na Maulid Mtulia kugombea Kinondoni katika Uchaguzi mdogo Januari 17

    Huu ujinga hauwezi kabisa kufanyika Mbeya, pangechimbika!
  10. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Washamba haswa!
  11. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Uganda vs Egypt

    Juuko katoa assist Okwi kafunga goli
  12. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania Mbeya City yaweka hadharani jezi zake mpya

    Huyo wifi yao utamnunulia jezi ya simba na ya yanga?
  13. Dona Kantri

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Simu aina ya Tecno C8

    Uko wapi
Back
Top Bottom