Recent content by don_4rever

  1. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena wadau..member wenu wa miaka miwili iliyopita

    Haya karibu
  2. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Ooooh mwanamke chura..chura my foot

    Una uhakika gani kama huyo alie muoa zamaradi ali mla kabla ya ndoa na akaona huo mnato? Ndoa ni zaidi ya ngono!
  3. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kulalamika, suala la tendo la ndoa

    Wahusika wanakuja
  4. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

    Ndo zao hizo! Hakuna dem uta mwacha bila hivo vitisho. We usimwambie kama una muacha ila muache kimya kimya
  5. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Wanaume muache kujidhalilisha kwenye mahusiano

    Hizo hizo pesa!! Tumia hizo hizo pesa kum control!!
  6. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa mapenzi mtaani

    Huyo jamaa ni mhujumu wa maendeleo kabisa yani!!
  7. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyonikuta juzi, hii tabia nadhani nitaicha rasmi

    Sometimes muwe na akiba ya mambo mnayofanya kuyatoa public!! Huwez jua ni watu wangapi uta wa affect na ukizingatia humu tuko rika tofauti!! Perception is always different in accordance to people!
  8. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Inahitaji moyo sana kuishi na mpenzi mshamba mshamba

    Ni jukumu lako kumbadilisha sasa!! Angalia asije aka kuendesha, weka misingi yako na muoneshe kuwa hiyo ndo lifestyle yako!!
  9. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Wanaume muache kujidhalilisha kwenye mahusiano

    Mi nahisi ni wajue tu namna ya kuwa control wanawake!! Mwanamke kama anakupa papuchi, na mna share na mambo mengine that means kuna kitu pia ambacho anakihitaji kutoka kwako!! Na kama mjanja ukisha kijua hicho kitu, hiyo ndo inakua chance yako kumcontrol sasa. Bt ukiona anazingua, unamtegea...
  10. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Si kwamba wasichana visu/warembo hatupo tupo, tatizo wanaume ni bahili hawajui kuhonga

    Umelipia pesa ya matangazo? Coz naona kama unatangaza biashara vile!!
  11. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Enyi wadada wa Dar kuweni waelewa, siyo kila anayewaita anataka kuwatongoza

    [emoji23][emoji23][emoji23] kweli asee
  12. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Mama watoto anasema hana hisia za kimapenzi baada ya kujifungua

    Kaa nae akueleze hana hisia tu from no where au kuna kitu kinafanya asiwe na hisia? Ukisha jua tatizo ni nn ndo anzia hapo mkuu!! Huwez tatua tatizo bila kua na uhakika kama kweli lipo au mtu anajifanya?
  13. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekukataa leo halafu kesho anakutana tatizo ni nini

    Inategemea wakati ana mfukuzia walikua katik Situation gani. Je, kwa sasa amebadilika? Na je, jamaa anajua reason ya kukataliwa kipindi kile? Huenda huyo dem amesha mwagwa na lishkaji lake ndo maana ana mrudia jamaa coz maranyingi ndo inakuaga ivo. Principle yangu huwa ni hii: " Do not be an...
  14. don_4rever

    JamiiForums Tanzania Mwanamke bila miguno ya mahaba ni zero kabisa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom