Recent content by Don8

  1. Don8

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli anaiona Tanzania nzuri miaka 30 ijayo, shida wengi tuna njaa

    Ye alitakiwa aitengeneze Tanzania aliyopewa kwa miaka 5,miaka 30 haimuhusu sasa miaka mitano imeisha hamna kitu au Ndo tusubiri mpaka 30?na je msoto tunaupitia wote?
  2. Don8

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Tatizo hamuifati akishinda anaanza kutumia akili binafsi.Angalia mnayoyasifia kama yalikuwa kipaumbele kwenye ilani ilopita.
  3. Don8

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

    Juzi Rais wa Malawi kaachia dola,kama hata habari hujui utaiweza siasa?Kweli ujinga bado ni tatizo Tz
  4. Don8

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwa hili la kampuni ya Total, Lema na Sugu wamekudanganya usiwasikilize tena

    Huna unachojua mbulula wewe
  5. Don8

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Karne hii wakishiba sadaka wanaungana na dola na tawala onevu ili kulinda maslahi yao

    Hata kuandika Magufuli hujui.Nyie ndo mashabiki maandazi.
  6. Don8

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Spika Ndugai someni katiba ya nchi

    Huna unachojua wewe,kunywa chai uendelee kuchapa kazi usiendelee kujiaibisha man. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Don8

    JamiiForums Tanzania Chadema wameshindwa kabisa kuonyesha kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani Tanzania. Ni wakati muafaka wa kukikataa kupigia boks la kura

    CHADEMA isingekuwa na uwezo kama usemavyo usingekitaja hata,mbona hujawataja TLP?Unajua kazi zao ndomana unawawaza.Be calm utaelewa tu siku moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Don8

    JamiiForums Tanzania Chadema wameshindwa kabisa kuonyesha kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani Tanzania. Ni wakati muafaka wa kukikataa kupigia boks la kura

    Kwanini alichangia au na yeye anasupport upuuzi wa CHADEMA? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Don8

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    Jaribu kujifikirisha nchi kama Canada,Marekani,na South Africa which has better health care systems has decided to legalize weed smoking for two reasons 1.Medical Use 2.Enjoyment ni Kwame wameamua kuwafanya raia wao wawe machizi sio? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Don8

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    When I smoke weed I really love to reminisce,hata music ninaosikiliza ni wa zamani kidogo my favourites Oliver Ngoma,Bob Marley,Judy Boucher,UB40,and Elvis Presley. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Don8

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    80% ya dawa za kutibu akili zina chemicals zinazopatikana kwenye bangi,by the way research says smoking weed may help regrow brain cells. Read my friend,usipende kusikia tu vitu na kukubali easily. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Don8

    JamiiForums Tanzania Unafurahia nini na maisha yako katika historia ya kuvuta bangi(all about weed)

    Ila kila mtu ana maisha yake,if you have chosen to be sober all your life congrats.But we are enjoying man. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Don8

    JamiiForums Tanzania Trump ameshaanza kutoa vitisho na mikwara kwa Iraq baada ya kufukuzwa nchini humo

    Abel hakuoa wala hakuwa na mtoto,sasa wazungu wametokana na nani kama sio Cain? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom