Recent content by Don sparrow

  1. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Pakawa, umejigundua kama umeandika upuuzi kama vitu huvijui sio kuandika andika tu mloganzila hakuna mwanafunzi anae enda na usi mdharau anae soma udaktari Tanzania tena muhimbili maana amekuzid vingi ukitoa kutopoka kwako
  2. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    taifa la TANZANIA lote na mipaka yake hamna hospital yenye vipimo kama mloganzila ...kila hospital unayo ijua ww Tanzania
  3. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Karibu MUHAS, njoo na kichwa tu roho acha kwenu usije ukafa kabla ya muda

    Kule wanafndisha watu wawe madr muhas wana ku torture upate mateso kama waliyopata wao
  4. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania ILBORU HIGH SCHOOL SPECIAL THREAD

    Wazee wa vitei na makayamba mpo humu
  5. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Karibu MUHAS, njoo na kichwa tu roho acha kwenu usije ukafa kabla ya muda

    VIjana mlio maliza form six au pre first year karibuni chuo chetu ni kizuri sana japo ukija na moyo wako mwepesi tunaeza kuzika kabla ya muda wako Karibu chuo chetu unaeza ukaamua kusoma au kupiga bata kumbuka sup zetu 3 tu unapata disco karibu sana muhas .Huku ukiwa mwaka wa 3 mpk wa 5 ukipata...
  6. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani latangaza Matokeo ya kidato cha sita, Kibaha sekondari yaongoza

    Mwenye ile list ya top tens za shule na wanafunzi
  7. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania DSM: Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) akutwa amekufa

    Jumuiya ya wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikishi muhimbili kina sikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wa mwaka wa tatu ndugu MARCUS EDWARD KAHITWA wa kozi ya famasia kilichotokea gafla..mazishi na taratibu zingine zitatangazwa
  8. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na hawa wasanii waambieni fani ya uchekeshaji hawaiwezi

    Bro kiswahili kimekuwa kigumu hivi ????
  9. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Kama una namba ya Jux mwambie mtaa unahitaji ladha mpya; amezoeleka sana

    Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu tunahitaj mixing ya ladha ...inatupa kazi wadau tunao mkubali jamaa kama ..mna namba zake mwambien kitaa...
  10. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada; anaweza kusoma pharmacy kwa ufaulu huu?

    Akauze ngada tu ..elimu imeshamshinda
  11. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Muhimbili University(MUHAS) Special Thread

    bro ujaacha hata nukta yan kila kitu umeandika aiseeh we labda uwe kwenye management ndo utajua vyote hivoo dah ..hongera mzee
  12. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Wanachuo na ndoto wasiyotaka kuamka kuukabili uhalisia

    Nikiwa mmoja wapo wa wanachuo ambao nitakuwa mhitimu panapo majaliwa miaka kadhaa kama mungu atanipa uhai mbeleni nadhani kuna ndoto ambayo wanachuo wote bado tunazo za kumaliza chuo na kupata ajira panapo majiliwa na bado sijaamka. Pia wapo pia wenzangu ambao wao ni wahitimu mwaka huu bado...
  13. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania OSIRAK: Mungu wa wafu mikononi mwa Makomando wa Israel

    Muendelezo
  14. Don sparrow

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitamshauri mwanangu na ndugu zangu wasome udaktari

    Unaweza jarb tena ukawa na degree 2
Back
Top Bottom