Recent content by Don msafi

  1. D

    JamiiForums Tanzania FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwahyo uhalalalshwe mmea?:rolleyes:
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Dude limeachiwa hilo .... Mtu M'bad Mond anatuwakilisha tena! 🔥🔥🙌
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

    Oooh! nimeshaipata hii.... ipo poa sana ingawa ina mwisho mchungu. Asante mkuu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wakali wa series, msaada wa Series kali za action/upelelezi/ugaidi

    The spies ni ya korea mkuu?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuu naweza pata elimu ya hii forex tafadhali ... natamani sana kujaribu hii kitu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

    Waache uzushi wao, Tanzania hakuna corona.... napofanyia kazi tuna interact na watu wa mataifa mbali mbali (na wamerekani wakiwemo) wanaingia nchini na kutoka as they please na hakuna ht mmoja aliewahi kusikika ana corona ...... nonsense!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Huu hapa CHILAMBO CHA VENE wa Tongolanga nimeubamba!

    Shukrani sana mkuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnuz aachia 'kibao' kingine kinaitwa "Ongeza"

    Daimond 🙌🙌🙌
  9. D

    JamiiForums Tanzania Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Mkuu najarib kufungua website link inagoma!? pls advise
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Harmonize na Diamond Platinumz ni sawa na cha Fally Ipupa na Koffie Olomide. Afrobeat Album ndo itatoa majibu

    Unataka aongelewe nani sasa!! haya weka wasifu wako hapa tukuongelee mana inaonekana unahitaj kuzungumziwa mkuu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    We unaonaje mkuu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Maoni yangu juu ya Shambulio dhidi ya Freeman Mbowe

    Hyo lugha anaongea na watz au anawashtakia mabeberu? Nauliza tu lakn.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wamakonde tafadhalini sana, laana itawafuata na hata milele

    Usijal mkuu ngoja tuendelee kuzitafuta ingawa upatikanaji wake ni changamoto kidogo.
Back
Top Bottom