Mtoto kama.huyu.na wengine kama yeye kwa mara nyingi atapotea tuu. Kwani anastahili apewe kipaumbele awe na elimu ya aina yake yaani apewe nafasi ya kipekee ili kujenga uwezo wake amabo anao maluum. But ataishia tuu shule za kawaida then hamna kitu. Tatizo mtoto kama huyu anakua specialized...
Wa
Wazo zuri na lenye nia njema. Mimi na nyongeza tuu kwa hilo. Upande wa scout wanafanyi nini tanzania. Mimi nilisha kua scout morogoro na pia na kiwanja mkabala na makao makuu scout camp moro. Milima ya norogoro ukitazama utotoni mwangu 80's na sasa tofauti. Pale bahayi camp kwenyewe...
Hili jambo ni lakuogopa kama ukoma!! Tatizo watanzania hatuna upeo katika kusimamia haki za msingi zetu wenyewe. Tumekua kuku wa kienyeji sana kiasi kwamba unatoka bandani unarudi.mwenyewe hata kama ukirudi.hamna banda utaendelea kugaragara tuu maeneo uliyoyazoea. Kila jambo watu wanaleta mambo...
Mimi nimefiwa na mzazi ( baba) mwezi wa pili mwaka huu 2016. Watoto tupo nane. Yaani kuna kaka wa kwanza ni wa nje yaani baba alizaa nje ya ndoa. Then kuna madada wawili baba aliwakuta kwa.mama. Then kuna kaka yangu nje ya ndoa ila mama moja. Then kuna mimi ndani ya ndoa ( male). Then kuna mdogo...
Oyaaa kua na document kamili na pesa za kuanzia maisha. Panda basi la taqwa ama falcon. Tiket kata pale kariakoo. Unaweza kata hadi lusaka zambia ama livingstone. Bora upage taqwa la bulawayo ushuke livingistone kwani ni karibu na boda ya botswana. Zambia utatumia transit visa. Kwa vile wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.