Recent content by Don Alaba

  1. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Tuwaenzi walimu wa somo la Mwandiko

    Mwalimu alikuwa kaandika herufi zote nyuma ya darasa, ana bonge la fimbo refu, hapo kwenye ubuyu ndo balaa
  2. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Vingunguti ni shida kwa sasa

    Haina shida, nitaleta picha zake mkuu
  3. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Vingunguti ni shida kwa sasa

    Watumiaji wa hii njia tunapata changamoto kubwa baada ya kuharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha!
  4. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Wala usijali, na siku zote huwa nakuelewa vyema unapoandika, sema tu huwa natafakari hisia zako, tuendelee kujenga nchi, kweli exposure ya watu kusafiri nje haijabadili viwanja vyetu kwa speed inayohitajika.
  5. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Unakuta wewe ndo mjomba halafu ndo shangazi pambana usaidie ndugu zako
  6. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Mzee baba huna mjomba wala Shangazi pole sana
  7. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na Mkurugenzi wa TAA kuwaondoa wafanyakazi wa mikataba bila kuwapa nafasi ya ajira

    Sema Barafu huwa una hasira sana na mamlaka sijui walikufanya nini, ila jambo moja sio tempo wote walikosa weledi au kuwa na ndugu pale, dhana mbaya ni ile mamlaka kukaa na hawa vibarua zaidi ya miaka kumi, kosa si la mkurugenzi mpya bali utawala uliopita, kisheria sijui mtu anatakiwa afanye...
  8. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    swali zuri kaka!
  9. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Mwananchi Azory Gwanda bado hajapatikana?

    kayeke kayeke, sinza?
  10. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    nimefanikiwa kutatua tatizo
  11. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Natumia Samsung A5 nikipiga namba zilizopo kwa phonebook yangu naambiwa sina salio, ila niki dial namba ambayo haipo kwa phonebook (contacts) simu zinatoka fresh, sasa sijui ni settings zipi hapa ambazo zinakorofisha?
  12. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania Order your unlock phone code: 100% money back guarantee

    Niaje kaka, dizaini nina Z3 blackberry imeniletea error www.bberror.com/bb10-0015, hii inakuwaje?
  13. Don Alaba

    JamiiForums Tanzania DAR: Polisi walizuia Kongamano la chama cha ACT Wazalendo, Millenium Tower

    HAPA KAZI TU
Back
Top Bottom