mbona sio china tu, watanzania wengi tu wanatumikishwa kwenye biashara ya ngono pande za ulaya, lakini wao wenyewe hawasemi, wengi wao wameona ndo maisha yao na wameridhika
nilikuwa napita tu, nikipate, mengi nitawajuza nalifanyia kazi hili huku nilipo
Itafika hatua wakristo tutasema tumechoka, kwanini tuonewe? mara risasi mara tindikali, kwanini watu wamungu? halafu serikali inasema inafanyajuhuudi watu wakamatwe wapiiiiiiii? haya mambo ya mwisho, lakini mwisho wake utakuwa mbaya
Tuwapate wapi wakina Mwakyembe wanne tu, nchi hii tutachota maziwa kwenye mabomba ya maji
BIG UP MWAKYEMBE, NA HAKUNA ATAKAYE KUDHULU WATANZANIA WAPENDA HAKI TUKO PAMOJA NAWE. MUNGU AKUBARIK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.