Recent content by Domino123

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    pumbavu mwenyewe....2020 chukua fomu kama unaona watanzania hawajui kuchagua labda wanaweza kumchagua kichaa kama wewe
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anavyozungumzwa maofisini

    nchi hii ilishakua ya udalalali...hatuwataki makanjanja mjini....watu wakalime ...kama ulikua makanjanja ndio wanaoipata fresh saiv...air tuliozoea Kula kwa jasho....jeshima yetu imerudiiiii...wadada wa kuhongwa vts mjini,madalalali,watu wa dili bandarini n.k...tukashike jembe...hapa kazi tu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Naibu Spika alalamikiwa kumzunguka Spika Ndugai

    clip yenyewe kajirekodia chumbani.....kwa namna hii tutapata mawazo ya wabunge hewa....si tupo waendelee tu kujirekodi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Naibu Spika alalamikiwa kumzunguka Spika Ndugai

    wabunge wetu wapo kwa ajili ya matumbo yao ndioana wanataja fedha zirudi bungeni wazipangie matumizi hata kama kinachoenda kufanyika kina maslahi ki taifa madhalani ujenzi wa miundombinu Na kuboresha Huduma...kwao matumbo yao ni ya nsingi kuliko vitanda vya wagonjwa Na madawati...mkija Na sera...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na wanaharakati tusaidieni kufungua kesi ya suala la bunge kutooneshwa live!

    watatoa tu ya moyoni......
  6. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamegoma bunge kurekodiwa badala yake wanajirekodi kupitia simu na kurusha mitandaoni

    wange burn kwenye CD wauze wapate hela..itawapunguzia jazba
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Na kama hawajalipwa fidia hiyo kampuni nayo jipu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Natamani aliyeweka bandiko angekuwa na uelewa walau hata 1/4 ya ulichosema mkuu.....hakika angeondoa uzi huo....
  9. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Kwahyo tuwaache waendelee kuiba sio,nimekusoma jombaaaa....
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Ushauri upi alioukataa jombaa,acha mihemko basi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Udhaifu wa kiingereza cha Magufuli ni "Assah Andrew Mwambene"

    Labda mwambene mjonba ake huwez jua mkuu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Udhaifu wa kiingereza cha Magufuli ni "Assah Andrew Mwambene"

    Acha undezi,hawa wazunguhawana jipya.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kwenda Mbinguni kwa kutuma SMS zenye mikwara na vitisho

    Waambie waache ulimbukeni...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: CUF hawaepukiki

    Muache magufuli afanye yake wala usimsemee........huu ndio mda wa kuwanyoosha bila kujali itikadi za vyama...viva magu
Back
Top Bottom