Recent content by Dominik Dominik

  1. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    msangi hv kumbe mzee ni mtata? mbona kama alikua anaongea sana
  2. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    kingai ndo DCI yaani mkuu wwa ma CID
  3. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    hustaaf
  4. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    acha ushamba bwana mdogo,mfano kastaafu u rpc,anakula pensheni na huku kwenye usecuruty manage anakuwa anazuga,kinachomata hela anayoingiza,utashangaa anavuta mil 2 kwa mwez na yy ni kutoa maelekezo kwa ma supervisor tuu
  5. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    mmekuja sasa
  6. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni nani? Alikuwepo kwa Tundu Lissu na sasa yupo kwa IGP Wambura?

    huyo ni askari polisi wa kitengo cha intelijensia CIU kinaitwa hv,kama kachero tuu,sio kwamba ana mpeleleza lissu lah bali viongozi wakubwa katika matukio muhimu hata wawe upinzani hupewa ulinzi wa serikali kama hivyo,.ila wakiwa mbali na shughuli muhimu hujitegemea ulinzi.
  7. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    alikuwa ni kigogo wa polisi au junior tuu
  8. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa Makamanda machachali wa Polisi?

    punguza presha mkuu
  9. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam

    juzi kati Emmanueli Mbasha alikuwa anahojiwa na vido wa amplifaya CLOUDZ akiwa. chunya,anasema anawasihi vijana wawekeze machimboni/migodini ndiko maisha yalipo.NILITAFAKARI SANA,MTU MAARUFU KAMA YULE KUSEPA DAR KUJA KUCHUMA PORI,NILITAFAKARI SANA,NA NI KWELI,mjini tunagombaniana fursa matokeo...
  10. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Vituo vya ITV, EATV, STARTV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, ETV – Tafadhali Sikilizeni!

    hata mimi nawazaga hivo hivo,Channel zenye ubora hazizidi tatu bongo,CLOUDZ+WASAFI,TV E na vilivyo chini ya AZAM.kule ITV,EATV NK Tangia afe mengi naskia wameshindwa kuwekeza tena kwenye chombo chao,vipindi vya kizee,nyimbo za kizamani.naskia ITv na STARTV kuna kipindi miez michache nyuma...
  11. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Wanawake Mungu anawaona mjue

    mbona kama story ya kusogeza muda🤣🤣
  12. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    itakuwa alipigwa ban ya kudumu maana jamaa ashapigwaga ban za kutosha akirejea mwendo wa post za kejeli kama kawa kama mpina au lissu hv,nadhan kabadili ID
  13. Dominik Dominik

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    kijana inaonesha upo mbali na mambo ya kiserikali,TPB ilibadilishwa now TCB
Back
Top Bottom