Recent content by dominick mulla

  1. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Tarifa zilizopo nyyuma ya pazia, Dr slaa,tundulisu na john mnyuka wamehama chadema
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    Vyama vya siasa vimekuwa rungu LA kupigia watz.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Kweli sie ni wadanganyika na si watanzania, MTU alieliibia taifa Mali ya uma leo hii tunasema anafaa!!!! Na kama ilikuwa ngaZi ya juu mbona hakusema kipindi hicho, na alikubali kujiuzuru ili iweje? Na bila aibu eti mbowe anasema chama chake kimefanya kaz kubwa kumconvice Edo ajiunge chadema, mie...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Kwanza tuelewe aina za rushwa, then utajua hata mwanafunzi wa Chuo kikuu kugombea urais wa Chuo nae anatoa rushwa ili apate uongozi wa Chuo.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Lowassa kuiangamiza CCM

    Wakukurupuka nae anamambo. Sasa kama ni mpango mbona umewwkwa wazi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Ukawa mnatapatapa, makapi ya ccm kwenu ni almasi?
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

    Kwan lembeli kaifanyia nn kahama hasa ushetu anakotokea? Kaona atapigwa chini ccm kaamua atimukie chadema!!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

    Mmmhhhhh, haya wabunge Wa chadema wanaakili nyingi kuliko Wa ccm, je hawa waliokiwa ccm wanaohamia chadema nao vipi?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Chdm+ukawa ni sikio LA kufa halisikii dawa!!! Nimajuz tu zito aliibua swala LA epa+Richmond. Lowasa akawajibishwa? Sasa Leo hayo ya ufisadi yamesahaulika. Salsa anabembelezwa ajiunge chdm. Mmmmhhhhh
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    Ukawa watapetape tu, then wakafie huko moshi. Ivi lisu anamponda magufuri je yy kama mpinzani kaifanyia nn nchi hii.
Back
Top Bottom