Recent content by dominho

  1. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kuna sister mmoja ilikaa zaidi ya siku 30 destination institution then inaji auto accept-kuwa umekaa zaidi ya siku 10. Endelea kusubili
  2. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kabisa🙏🏿🙏🏿
  3. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Bila bila na mimi😅
  4. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ndio lazma apitishe ili maombi yaende destination
  5. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Natoka shule(local government) to mamlaka…niliomba vacancy kupitia mfumo nikawa accepted then nikaenda on transfer.
  6. dominho

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    wadau maombi yangu yamefika tarehe 12 mwezi huu utumishi lakini experience ya kusubl majibu sio ya kitoto! Safari ni ndefu na mungu atusaidie
  7. dominho

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Kama hizi
  8. dominho

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Bulk sms ni messages ambazo Unatumia wewe mfanyabiaashara/kampuni kujitangaza au kuwatumia taarifa wateja wako..Unatumia mteja txts automatically au manually insyosomeka jina la kampuni Kwa mfano hii txt chini... Hizi bulk msg kampuni/mfanyabiashara anaweza kununua Kwenye makampuni yanayotoa...
  9. dominho

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Mcheki Huyu mtu 0754869302
  10. dominho

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya bulks SMS

    Wacheki Data vision Ltd wenye MLIPA wanachaji 30 kwa kila message...utaratibu ni mpaka uwape Sender ID waitume TCRA kui verify kwa gharama ya 3000 then unaanza kutumia bulk sms. Kuverify sender ID TCRA wanachukua si chini ya week 2[emoji2] Imail yao...
  11. dominho

    JamiiForums Tanzania Hivi kupata leseni ya biashara ni mpaka uwe na Tax clearance?

    Watu wasuchojua ni kuwa kuna leseni daraja A na B..leseni daraja A zinatolewa Kwenye biashara/kampuni zinazofanya biashara yenye sheria/sera za kitaifa mfano huduma za mikopo,hospital,import naexport nk hawa wote wana apply leseni zao wizara husika sema now brela ndo anatoa leseni hizo miaka...
  12. dominho

    JamiiForums Tanzania Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

    Paschal mayalla atawaambia nini watu😂😂
Back
Top Bottom