Umesoma history vizuri na kuielewa vizuri kongore kwako. Marekani umejengwa na fugitives kutoka ulaya na msingi mkubwa wa mafanikio yao ni katiba ambayo imetoa uhuru mkubwa wa mwanadamu kutia kipawa chake kujiletea maendeleo. Sisi hatuna democracy kabisa tuna udictator wa kishamba. People a
Una hasira za ukabila ndugu, Tanzania kuna cultural diversity sana tu kwa hiyo yakupasa kuwa mvulimivu maana katika makibila yetu huwezi kukuta perfection
Jitahidi kuwa mvumilivu mkuu, kama mtu akitukana achana nae. Ni kawaida ya mwanadam kuwa na subjective instinct hata mwendazake alikuwa subjective sana ndo maana alichukia hata waliokuwa wanamuelekeza na waliposoma upepo wakageuka vikaragosi
bro uwe unafuatilia mbona Papa kashazungumza on behalf kuwa watu wachanje kwani chanjo ni salama na ishara ya upendo. I wish you could be informed
Unakunywa bia gani agiza nakuja kulipa. Mapadri wanafundishwa royalty sana kuanzia juu mpaka chini. Kutii maagizo ya Baba askofu kwa mapadri hakuna...
Nimependa utani wako vijana wanatelemsha matusi si unajua malezi siku hizi bwana. Mm mwenyewe mwnasimba nutaenda kusakta rumba na toto ya mboka. Wanayanga hamjui utani acheni hasira
Bro experience ya ant vaccine protest inayo. Kama mtu unafuatilia juzi Papa aliwaasa watu kuwa chanjo ni salama na ishara ya upendo utesema Papa katoa msimamo wake binafsi au amekuwa manipulated na watu wachache. Kugawanyika na kawaida labda kwa watu ambao hawawezi kuvumilia diversities...
Kanisa katoriki ni taasisi imara na inayoongozwa kwa weledi wa hali juu. Tuliosoma seminary tunafahamu hilo na ndio chombo pekee kilichoonesha msimamo wakati wa vituko vya awamu ya tano. Tuna shida sana kwenye educational program zetu zinatoa half cooked personnel. Haiwezekani na kituko cha...
Unajifanya unaakili kumbe mbumbu tu hujui lolote kuhusu mfumo wa uwekezaji ndani ya Simba upoje. Watanzania tumejaa wivu kaa mbwa vile. Account ya club unaijua, signatories unawajua? Kampuni inayomiliki Simba unaijua. Jiulize Chelsea ikafanya mauzo ya wachezaji, matangazo na asset zingine hela...
Kuachwa Gwajima inategemea na culcalation ya madhara yatokanayo na propaganda zako. Kwa kiongozi ambae ni intolerant kashamshughulikia Gwajima mapema sana maana anachokifanya ni uasi. Kwa hiyo naamini securities wako makini sana wanafanya analysis why Rashid behave in that way
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.