Recent content by DOJOLE

  1. D

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Polisi mkiwakamata wahalifu wapigeni bila huruma, watakaohoji waje kwangu

    Je ni wakati gani mtu anahesabiwa kuwa mhalifu? Si baada ya kuhukumiwa na mahakama? Polisi anakamata mtuhumiwa tu, kwa hiyo kumpiga ni kosa kwa sababu haijathibitika kama ana makosa.Kumpiga mtuhumiwa ni kumpa hukumu bila ya kusikilizwa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali na matangazo ya biashara-Fiesta imooo

    Biashara ni ujanja. Clouds Media groups wanajua hilo, wanafahaamu jinsi ya ya kufanya matukio yao yakaonekana official, angalia jinsi tukio la mwanamke wa nguvu lilivyo- win support ya public na serikali. Fiesta wakati inaanza ilikuwaa ni muziki tu, siku hizi wanaiongezea na mambo ya fursa etc...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete alitumia uchawi gani?

    Excessive borrowing ni kukopa wakandarasi, mifuko ya hifadhi ya jamii, EXIM Bank of China, kutolipa madeni ya wafanyakazi, etc
  4. D

    JamiiForums Tanzania NSSF toeni ufafanuzi kuhusu fao la kujitoa

    Wafanyakazi wote wanaochangia kwenye mfuko huu kwa umoja wao wanatakiwa wafungua kesi mahakani kuhusu jambo hili. Kimsingi michango ya NSSF ni " forced saving scheme" ambayo inategemewa kumsaidia mfanyakazi wakati ambapo hawezi tena kufanya kazi. Inasadikika kwamba voluntary saving ni ngumu kwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Akamatwe kama vijana wa Orijino Komedi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu operesheni UKUTA

    Wao wanauwa watu weusi, askari huko kwao lakini hakuna nchi ya Kiafrika inatoa statement juu ya usalama wa watu wao wanaoishi marekani. Maandamano ya UKAWA/ UKUTA yanawahusu nini wamarekani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete alitumia uchawi gani?

    Two things: If you do not collect taxes and yet you manage to execute your activities as a government the explanation is simple: 1. You have excessive borrowing internal and external 2. You had reserve in your coffers- which is not the case in Kikwete regime
  8. D

    JamiiForums Tanzania UVCCM Kufanya Mandamano August 31

    Inawezekana kabisa serikali haitaki kusema openly maandamano kwa UKAWA yameruhusiwa, ili ku- cushion hii hali, wamewatanguliza vijana wao kuonesha kwamba hawana tatizo na maandamano ya amani, ila kwa UKAWA kama watafanya fujo watathibitiwa vikali
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu wasainishwa fedha za kujikimu nusu ya kiwango wanachostahili

    Kitu ambacho watu hawajui ni kwamba tax revenue ya nchi hii haifiki hata 20% ya GDP. Pia, nchi hii iliendeshwa muda mrefu na fedha za wafadhili. Inawezekana hata TRA wakawabana wafanyabiashara wakakusanya 1.5 trillion kwa mwezi, lakini tujue kuwa gap ya fedha za wafadhili, debt servicing...
  10. D

    JamiiForums Tanzania TRA takwimu hizi mtupatie pia

    Utaratibu wa kufunga biashara ni wa kisheria si kwenda TRA tu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Tulikuwa tunamwona Prof. Lipumba kama mtu asiye na uchu wa madaraka, lakini kwa haya yanayoendelea ndani ya CUF imedhihirika kwamba hana sifa hiyo adhimu.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Moshi Ajimwagia Petroli na Kujipiga Kiberiti

    Pamo Pamoja na madeni ila kuna matatizo ya kifamilia pia huchangia watu kuchukua maamuzi ya kushangaza hivi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TABOA wakamatwe na vyombo vya habari vinavyotoa tangazo lao vifungiwe

    Bila kujali sarakasi zinazoendelea sasa hivi kati ya TABOA na Serikali inapaswa kukubali kuwa kuna matatizo mengi sana katika eneo hili 1. Chanzo cha matatizo yote haya ni mwendo wa mabasi. Serikali imeamua bila mabasi yote yanayosafirisha abiria yasiendeshwe zaidi ya kilometre 80 kwa saa. Pia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Ajali mbaya imetokea Mlimani City leo alfajiri

    Acha hukumu za kijinga wewe.Chupahuwezi kujua nani kaweka hapo
  15. D

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yakanusha taarifa kuwa imesimamisha mikopo kutokana na hali tete ya uchumi

    Tunaijua CRDB, tunawajua wafanyakazi wake, tunajua somehowly operations zake .Huwezi kuja boldly sasa hivi kwenye media ukasema mambo ni poa biashara inaendelea kama kawaida. Kuna mambo mengi sana yanazungumzwa na public pamoja na wafanyakazi wa benk wenyewe i kuhusu hatua ambazo benki...
Back
Top Bottom