Recent content by Doi

  1. D

    TANESCO - Kinondoni, this is emegency tafadhali

    Ndugu zangu TANESCO, Leo siku ya 3 Ubungo Kibangu huku hatuna umeme,toka ijumaa jioni, tatizo ni transfoma, tumepiga sana namba zenu za emergency mkatuambia mnakuja,kuona sijui tunawakera mmeamua na simu kuzima kabisa hazipokelewi, jamani wafanyabiashara, majumbani, tunaingia hasara jamani, ama...
  2. D

    Kiwanja kimepimwa kinauzwa Pugu

    Kiwanja kinauzwa pugu buyuni block c,ukubwa 25*30 kimepimwa kina offer,bei mil 6.hakina udalali Kwa anaehitaji email me. gmrobert16@yahoo.com
  3. D

    TATIZO LA FOLENI MJI MZIMA:strabag malizen bara*2 moja muanze nyingine

    kumekuwa na tatizo la foleni kubwa kwa mji wa dsm kwa sasa,kila sehemu ni foleni jamani,hv serikali inafahamu inapoteza pato kiasi gani kila siku kutokana na foleni?Magufuli,waziri mwenye dhamana hii,tafadhali hakikisha mkandarasi anamaliza sehemu moja anaanza nyingine. Eneo kama la kinondoni...
  4. D

    najua uongozi tanesco mpo pia humu,tafadhali tujuzen kinachoendelea

    leo siku ya 2 sasa,toka jumamosi asubuh hadi sasa maeneo ya ubungo hatuna umeme,mpaka naandika hapa mida hii hakuna umeme huku ubungo laini yote ya kibangu mapaka jeshini huko,na wengine maeneo mengine kama kigogo,mburahati kote wanalalamika kuwa Hawaelewi kama ni mgao ama laa,mana na wao toka...
  5. D

    nyumba inauzwa

    nyumba inauzwa maeneo ya kinondoni kama unaelekea mwananyamala, Nyumba ipo barabarani ina maduka mbele,kuna uwanja umebaki pia haujajengwa,eneo ni kubwa sana,kunafaa kujengwa hata ofisi. bei ya kuanzia mil 400. Kwa anaehitaji apige no 0712248935. Mm sio dalali ni mwenye mali.
  6. D

    gari inauzwa baloon cresta mil 5:5

    nauza gari toyota baloon bei mil 5:5,ukiitaji ni email ili tuwasiliane uione,ni nzuri sana.maelewano yapo. bazemlechiku@yahoo.com
  7. D

    Gari kwa 4 Mill

    Mm ninalo lipo katika hali nzuri,nauza sababu nataka badilisha gari,nna baloon cresta kama unahitaji tuwasiliane,ama ushapata
  8. D

    Wabongo tunapenda kujipendekeza kwa marehemu

    jaman haya mambo ya kuiga hayatatufikisha kokote,siku hz hata khanga msiban ni chache,zimekuwa fashion za kparty,tuacheni kuiga jaman kuna vingine sio ustaarabu wetu havifai
  9. D

    Feza Kessy

    tuwapigie wawakilishi wetu kura sio kulaumu tuuu pindi wakirudi mikono nyuma
  10. D

    Naomba mawazo yenu kuhusu my wife wangu!

    jamii forum imeingiliwa,hv kwa nn kama maswali ya mtu ktk jukwaa hili yanakuboa usiishie mms,hebu acheni hizo kuwa una mclash mwenzio wakati anamatatizo
  11. D

    je, ni kweli Bozi Boziana yuko Dsm?

    hebu acheni utoto,jf ni greatthinker bwana
  12. D

    First look at Kim Kardashian's growing baby bump

    Hahahahah jaman mkono uliteleza.tumeelewa lakini ndugu
  13. D

    nafasi ya kazi ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)

    ni zile ajira zilizotangazwa nyingi ndugu yangu,za kati ya trh 25/05/2012, na 29/06/2012 km sikosei
  14. D

    nafasi ya kazi ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)

    jamani naomba mtujuze mana ktk matangazo ya kuitwa kwenye usaili sijaona hii post post ya kuitwa kwenye usaili post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II (TRADE OFFICER GRADE II)
  15. D

    Usaili wa nafasi za afisa biashara daraja la ii na mchumi daraja la ii

    Ndugu zangu naomba kujua kama watu washaitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi kwa post ya AFISA BIASHARA DARAJA LA II NA MCHUMI DARAJA LA II ambazo zilitoka mwezi wa 5.
Back
Top Bottom