Recent content by dogo_mjuaji

  1. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Lisemwalo kuhusu Bongo movie

    Kuna siku nimepita ule mtaa wa idrisa nikaelekea magomeni kupitia studio dah madogo vi homboy unaokutana nao mpk unaowaonea huruma wanavotambiana smartphone wakina wamevaa vibukta na vichen shingoni
  2. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Wanadau nashangazwa sana na hili

    Basi sawa..si wengne macho yetu yote october 25 huo umbea hautuhusu
  3. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Me hapa enyewe nlipo navuta bangi ukitaka ni pm tuje kuvuta wote napatikana tabata barakuda karibun maskan kwetu wavutaji wenzangu Naomba tunaovuta tuanzishe uzi wetu kabisa
  4. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    me yoyote ila kwa upinzani hata angekuwa chenge Afu hata hivo lowasa atosha
  5. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni Fisadi na atabaki kuwa fisadi

    Lowasa na kina kikwete wote mafisadi
  6. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    Nchi hi ya wote sote kama vp tuunde serikali ya mseto
  7. dogo_mjuaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

    Me hata mke wa ndoa siwez mnunulia gari
  8. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Je TANU ilipata uzoefu wapi wakati ilipochukua nchi kutoka kwa mkoloni?

    Me mwaka huu hata angegombea chenge kwa tiketi ya ukawa bado ningempa kura yangu ccm nimewachoka mpaka siku hz nimepungua uzito kila nikiwawaza
  9. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Umri gani unafaa kujitegemea

    Unaongea maneno gani hayo
  10. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Hii TAKUKURU ya mwaka huu imeota meno

    Ccm mwaka huu tuwatoe hata angegombea chenge kwa chadema bado ningempa kura yangu
  11. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Je TANU ilipata uzoefu wapi wakati ilipochukua nchi kutoka kwa mkoloni?

    Ma ccm yanadhani watanzania wote ni wajinga
  12. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

    Mbona unayooandika hayana uhusiano..kwan mwenye pesa ndo mla rushwa
  13. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    we ni great thinker wa ukweli
  14. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania Tigo waja na wizi mpya kwa wateja

    karibu air tel
  15. dogo_mjuaji

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imejiua yenyewe haijauawa na CCM

    Afadhali umetambua kama huyu jamaa katumwa ukawa ikulu lazma hata angegombea chenge me ningempa kura yangu
Back
Top Bottom