Recent content by DOGMA

  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu hapendi kula kabisa

    Hii ni dalili ya upungufu wa vitamin B Complex iliyopelekea (SPLEEN) kufanya kazi chini ya kiwango na kuweza kusababisha 1. Kushuka kwa kinga ya mwili (degradation of immunity) 2. Kupungua kwa kiwango cha seli nyekundu za damu na kusababisha Anemia 3. Tumbo kujaa gesi 4. Mwili kushindwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia-Je kuna dawa inayotibu moja kwa moja schizophrenia bila hilo tatizo kujirudia?

    Kuna dawa special za usingizi na ili kufanya tatizo lisijirudie ni lazima mhusika apunguze mawazo (thoughts per minute) na awe anawahi kulala mapema kila siku na hii iwe ni tabia yake ya kawaida
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nina nguvu za ajabu mpaka najiogopa

    Unakarama kubwa sana ya MAONO. Sema tu shetani anaituitumia kwa malengo yake mabaya. Inatakiwa ujisafishe kiroho ili uwe mtu wa kutumika vizuri na Malaika katika kuwalinda binadamu wenzako dhidi ya mitego na hila mbaya za shetani. Hii itajidhihirisha tu kama una alama hii hapa chini kwenye...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mystery Of God Creation

    Before physical world there was spiritual world. Na kabla ya binadamu mwenye mwili wa kufa(physical body) kuna binadamu asiyekufa(spiritual body aka etheral body)
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mabingwa wa kutengeneza Automatic Hydroponic Systems

    Hydroponic technology ni sayansi ya kuotesha mmea kwa kutumia maji tu yaliyochanganywa na virutuvisho kadhaa. Ngano,shairi, ulezi,mtama nk huweza kuoteshwa ili kupata FODDER kama chakula cha mifugo -kuku, nguruwe, bata, kanga,sungura,ng'ombe nk. Fodder hizi zina virutubisho vingi vinavyofanya...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mi ni mtaalamu wa kutengeneza Automatic Hydroponic system. Yaani mfumo wa kuotesha mimea kwa kutumia maji unaojiendesha wenyewe. Kama unahitaji basi tuwasiliane.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya elimu CCM si waliipinga Bungeni alipoileta Mbatia, leo kasema Mkapa CCM hao hao wanapongeza

    Akili za wana CCM zimeshaliwa na dumuzi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Pole sana waziri wangu japo umetumia hisia katika hili.eti "Umaarufu wake utamponza....atapotea"
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Abdul Nondo aliyekuwa anakosoa mwanafunzi Akwilina kuuawa na Polisi, hajulikani alipo

    Ivi kweli tutafika kwenye Tanzania ya viwanda na hili ombwe la unyanyasaji,ukandamizaji na kupotezana kwa mfumo huu?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utambuzi wa tabia asilia, karama, vipaji na uwezo kimasomo

    Mwangaza Personality, Career and Talents Discovery Service Je unatamani na kupenda · Kutengeneza kikosi kazi bora na chenye ufanisi mzuri? · Kufahamu uwezo na udhaifu wako wa asilia? · Kufahamu uwezo na udhaifu wa mpenzi au rafiki yako? · Kujua wito wa kazi (udaktari, ualimu, ,uandisi...
  11. D

  12. D

  13. D

    JamiiForums Tanzania Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    kula mboga za majani kwa wingi na kutana na mkeo siku ya ovulation pia hakikisha kuna deep penetration
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kutafuta jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa

    kula mboga za majani kwa wingi na kutana na mkeo siku ya ovulation pia hakikisha kuna deep penetration
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya UDA yatoweka Dar na kutumika kutengeneza mafuriko bandia ya Magufuli

    ccm ndio zao hata gari za serikali aka kodi yangu wanazitumia baada ya kubandika plate numba za kawaida. jamaa mwaka huu kama wanaigiza vile???????????????
Back
Top Bottom