Dr Massi na Dr. Judy RIP tuliwahi kuwa pamoja katika utumishi wa umma wa Watz wenzetu Mungu awapokee kwa kujitoa kutumikia wenzenu hata kupunguza siku zenu za kuishi lakini hiyo ndio spirit inayotakiwa na daima mtakumbukwa.
RIP Dr Judy. Mwenyezi Mungu atakulipa na wote waliojikuta katika hali kama hii.
Watanzania tumekuwaje? Hatuoni kuwa huyu alijondoa katika tabaka lake kutumikia nchi na watu wake (class suicide)? Watu wa aina yake wengi wako huko Marekani, Geneva, Uingereza na kwingine wakilipwa mishahara...
Safari yetu ni moja nenda salama ndugu yetu Lymo LLB Mungu akusamehe mapungufu uliyokuwa nayo na awarudi wote wanaotumia nafasi zao za uongozi kuwakwaza wengine. Najua haya ni matokeo ya kufanya kazi za madaraka katika system corrupt. Mungu aliahidi anayewakwaza watoto wake atafungwa jiwe na...
Uko sahihi Job. Si la kushangaza mambo kama haya kutokea mauaji yaliyokithiri bila kuthamini uhai kwa pande zote yaani police na hao raiya walipa visasi na sisi wenyewe wanajamii tunaoshangilia mambo ya hatari kama hili. Hivi si kwamba tunavuna tulichopanda? Haiwezekani kuwa na amani na...
"Wauwaji watawajibika kwa Mungu"
Ni kweli hatuwezi kuwa jamii ya kulipa ubaya kwa ubaya kama kweli tunamwomba Mungu tudumishe AMANI yetu. kama tunafikiri alifanya mabaya; na sisi tujiangalie kwa yote tunayofanya kwa wale tunaohusiana nao kuanzia familia, kikazi, jamii nk Haya ni baadhi tu ya...
Mwacheni Mungu mwenyewe alipize kisasi. Hatuwezi kufurahia mauwaji ya mtu kwa kuwa watu wa aina yake au ndugu zake walituudhi au kutuua. Kuweni na mioyo Mikuu. Kama kifo ni kibaya kwako basi na kiwe kibaya kwa binadamu yoyote hata kama ni adui wako. Tunasahau mno mafundisho ya wenye hekima...
Nasikitika kutokana na mauaji ya huyu RPC ambaye namjua tukiwa Chuo Kikuu. Hata Kifo cha Mwandishi Mwangosi, na wengine wote waliouwawa na kuteswa vinanisikitisha sana.
Nasikitika jinsi mtu unavyolelewa, unakuwa unasomeshwa na unakuwa na mafanikio kielimu. Hata hivyo kuchagua kazi inakuwa...
RIP Ndugu yetu Barlow Lymo Liberati (Lymo LLB) Alikuwa kipanga wa Darasani kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam B.A International Relations 1984 hadi 1987 alikuwa mnadhifu, shupavu, na mwenye akili nyingi. Sina uhakika na unadhifu wa kazi aliyochagua na kuifia katika mazingira ya nchi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.