heshima za mwisho kwa aliyekuwa RPC Mwanza.

Unaagwa hapa nyamagana, kisha unapelekwa kwa ndege dar. kesho j4 mazishi na maziko kwake marangu, kilimanjaro.

Sasa wanamsafirisha kwa ndege kwenda Dar kufanya nini, si wampeleke moja kwa moja kwao Moshi via KIA watu wanataka 10% mpaka kwenye misiba jamani du
 
Huyu Mwl akimalizana na hiyo deal ya Mwanza asogee Iringa akamalize kazi faster arudi akamate chake!hapo hawezi kuruka hawa ma polisi woote ni walafi sana,hapo hawataruka!
 
Safari yetu ni moja nenda salama ndugu yetu Lymo LLB Mungu akusamehe mapungufu uliyokuwa nayo na awarudi wote wanaotumia nafasi zao za uongozi kuwakwaza wengine. Najua haya ni matokeo ya kufanya kazi za madaraka katika system corrupt. Mungu aliahidi anayewakwaza watoto wake atafungwa jiwe na kutupwa baharini. Sasa tutafakari namna ya kusafisha sytem corrupt ili nafasi za utumishi ziwezeshe watumishi kufanya kazi nadhifu. Ikishindikana kukataa nafasi hizo, basi tuzingatie amri za Mungu na atatulinda kwa vyovyote vile. RIP Kamanda.
 
Back
Top Bottom