Recent content by Dodoma moja

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Asante sana kwa ushauri mzuri sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Nimeajiriwa ndio na mkopo naweza pata, familia ninayo ila kwa sasa sipo nayo kwa sababu wife ameajiriwa mkoa mwingine kwa hiyo nipo bachelor ila wakipata nafasi mara moja moja huwa wanakuja na pia kipindi cha likizo ndio wanakuja na kukaa kwa muda mrefu kidogo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Sqm 610
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Asante ngoja nipambane
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Exactly
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Inaumiza sana aisee hususani kwa wenye vipato vya kuungaunga
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Thanks
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    itakuwa ndio mipango yake hiyo anaishi na wapangaji kwenye appartment then anajenga nyumba ya ndoto yake taratibu akiwa na wapangaji bila stress mwisho wa siku akihama huku anapangisha na wapo wengi ambao wamewahi kufanya hivyo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Hayo ni mapatano yetu na mwenye nyumba mwanzo nilikuwa nalipa 2M kwa mwaka baadae akaongeza laki 2 imekuwa 2.2M ambapo nalipa 1.1M kwa miezi 6
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Duh pole sana lakini kama umefikia hatua ya kuweza kupaua hiyo gharama ya kujenga chumba na sebule pembeni si ungeipeleka kwenye finishing angalau ungepiga hatua kubwa hata ya kuweza kuhamia kabisa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Hapa unamaanisha nin mkuu?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Ni kweli mkuu, asante sana kwa ushauri
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Sina furaha na ajira yangu, natamani kuacha. Je, nitaachaje?

    Vip baada ya kusepa watu wa bank hawakukutafuta?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

    Katika aina zote unazofuga ni aina ipi inakupa faida nzuri kuliko zote?
Back
Top Bottom