Gharama za makadirio ya umeme zinategemea mahitaji ya mteja husika.
Hiki ndicho kigezo kikuu katika kupata gharama.
Mahitaji yanaweza kuwa ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida, biashara n.k
Ongezeko la uhitaji au matumizi ya vifaa kama AC,Jiko la umeme,Water heater,machine za kusaga,kuranda n.k...