Recent content by Doctor Reggo

  1. Doctor Reggo

    Pisi kali alafu mwenzio anainyanyasa sijui nimchukue

    imenikuta hiyo dem mkali atar na anatesek sana ila bado qmemganda jamaa nimejarib kumjal wapi ... watunzen pis kali
  2. Doctor Reggo

    Nahitaji Past Paper za mitihani ya Mock

    Habarini ndugu zangu, Yoyote ambaye ataweza kunisaidia Past Paper za mock Form 6 nazihitaji hata kwa kuzinunua. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Doctor Reggo

    Data collection opportunity Dar es salaam

    Mheshimiwa nishatuma Maombi
  4. Doctor Reggo

    Swali: Mliofanikiwa kutumia mifuko mipya, inafaa kwa kubebea mboga yenye majimaji?(nyama au samaki) au unga wa kula?

    Ipo mifuko Mbadala Ambayo ni ya paper na ndan yake inatengenezwa na plastics nyepes. Wale wanaosafir kwenda Zanzibar kwa bot za azam wanajuwa
  5. Doctor Reggo

    Punguzo la muda kwa mifuko ya karatasi

    Non handled Lakn ipo Ambayo ni handled
  6. Doctor Reggo

    Punguzo la muda kwa mifuko ya karatasi

    Kutokana na wingi wa uhitaji na kuifany jamii iweze kuacha kwa haraka matumizi yote ya mifuko ya plastic. Tumetoa offer ya Tsh.75,000 kwa caton Ambayo ina PC 1000 kwa Aina zote hapo juu Karibu Sana RX paper bags tukuhudumie. Piga 0778729529.
  7. Doctor Reggo

    Natafuta mifuko ya karatasi

    Yule aliesema ni matapel tumeshanza ku delivery mifuko na kwa bei sahihi
  8. Doctor Reggo

    Natafuta mifuko ya karatasi

    Kila PC ina mifuko mingapi
  9. Doctor Reggo

    Natafuta mifuko ya karatasi

    Nina mifuko rahisi na nitakufikishia popote Tanzania . Tutafute RX PAPER BAGS AND PACKAGES 0778729529
  10. Doctor Reggo

    Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

    Ukihitaj Mda wowot na mkoa wowot nifat tunauza kwa bei nafuu kabisa
  11. Doctor Reggo

    Tarehe 1 Juni, 2019 Hakuna Kutumia Mifuko ya Plastiki

    Hii Ndio mifuko Mbadala kwa matumizi yote ya kijamii ni rahis kabisa.. Epuka faini sasa
Back
Top Bottom