Punguzo la muda kwa mifuko ya karatasi

Punguzo la muda kwa mifuko ya karatasi

Doctor Reggo

Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
13
Reaction score
9
Kutokana na wingi wa uhitaji na kuifany jamii iweze kuacha kwa haraka matumizi yote ya mifuko ya plastic. Tumetoa offer ya Tsh.75,000 kwa caton Ambayo ina PC 1000 kwa Aina zote hapo juu Karibu Sana RX paper bags tukuhudumie. Piga 0778729529.
IMG_20190521_141555.jpeg
 
Hii mifuko nyie mnatengeneza wenyewe au kuna sehemu mnanunua?
 
siku hizi ukienda sokoni/dukani ujiandae na hela mfuko.
 
Ukiangalia vzur utagundua bei ya piece moja ni kuanzia Tshs50 mpakaTshs 100 kwa suppliers wengi hii itaenda kutuathiri moja kwa moja kwa maana ya kutakiwa kulipia mfuko kila tutapohitajika kuwekewa kifungashio dukani, sokoni n.k tofauti na ilivyo kwa mifuko ya nylon ambayo unit cost yake ilikua ni ndogo sana almost ilikua around Tsh 10 au chini ya hapo
 
Back
Top Bottom