Recent content by Doctor Ngariba

  1. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa mtaani anashinda ndani asubuhi mpaka usiku ila anakula na kuvaa vizuri kazi yake haijulikani

    Vipi kama anafanya shuhuli zake unapokuwa umelala mkuu?
  2. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Kuna madalali na mawinga kila mahala hadi mteja unaogopa kununua bidhaa au huduma. Eti mpaka madalali wa daladala wapo mpaka unashangaa kulikoni. Hadi reflectors wanavaa dah. Kwa mfano nimewaona Vikindu na reflectors zao zimeandikwa UMADAVI.
  3. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Kama unafundisha kufree mtumwa bado hujaona kuwa unapinga utumwa?
  4. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Hivi, uislamu uliwahi kuleta nini?

    Hivi unafahamu kuwa uislamu unapinga utumwa?
  5. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

    Nadhani huyu jamaa anajock tu
  6. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 ya Rais Captain Traole wa Burkina Faso amefanya maendeleo ya ajabu

    Kama haya uliyoyaandika ni kweli basi mitano tena kwa Traure.
  7. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Kwani hujui kuwa Yanga ilipinga maelezo ya bodi ya ligi(mamlaka) ya kutofanyika mchezo siku ya tarehe 8 mwezi huu na bado wakapeleka team uwanjani?
  8. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Kanuni munazijua? Kama jibu ni ndio kwa nini muliwazuia Simba kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi?
  9. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Upuuzi wa Yanga wa kujiona wao ndo kila kitu umetufukisha hapa, team haina kawaida ya kuheshimu mamlaka hata kidogo. Unakumbuka tukio lile la 2021?
  10. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Tuligoma kwa sababu ile ni team ya kiume na kwa kawaida mwanaume hapendi dharau.
  11. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Tuliogopa vipi Yanga wakati hamna team bora ya kufananisha na Simba kwa sasa?
  12. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Nafikiri ungeonesha jinsi gani Yanga alileta msmbo ya 2025 kwa kuwazuia Simba kufanya mazoezi.
  13. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Haya ombi lenu la Mguto na Kassongo kuondolewa Bodi ya Ligi (TPLB) limekubaliwa je, sasa mtaleta Timu ili Mfungwe Simba SC iwe Bingwa au?

    Yanga ndo walianza kuzingua mkuu. Kwa nn mulikataza wachezaji kufanya mazoezi pale kwa Mkapa? Tunatakiwa kuangalia tulipojikwaa na siyo tulipoangukia. Au unaamini Yanga walikuwa sahihi kuzuia matumizi ya uwanja kupitia mabaunsa wao siku moja kabla ya mechi?
Back
Top Bottom